×

Kitaifa

NECTA Yatangaza Matokeo ya QT

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Nne

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani...

READ MORE

Matokeo ya Mtihani Kidato cha Pili 2020

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani ya...

READ MORE

Matokeo ya Kidato Cha Nne 2020/2021 Haya Hapa

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani...

READ MORE

Kufuru! Bilionea Laizer Ajenga Shule ya Tsh Milioni 466

BILIONEA Mtanzania, Saniniu Laizer, amekamilisha ujenzi wa shule ya Msingi mkoani Manyara katika Kijiji cha Naepo yenye thamani ya Tsh...

READ MORE

Watorosha Madini Waonywa

NAIBU Waziri wa Madini, Profesa Shukrani Manya, amewataka wachimbaji wadogo-wadogo nchini kuachana na tabia ya kutorosha madini na badala yake...

READ MORE

Bashe Aamuru Mhandisi Apangiwe Kazi Nyingine

NAIBU  Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe,  ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiaji kumpagia kazi nyingine Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa...

READ MORE

Mahakamani Akituhumiwa Kumbaka Mama Mzazi

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Masoud Habibu Mrisho, mkazi wa Kata ya Goweko wilayani Uyui mkoani Tabora amepandishwa kizimbani...

READ MORE

Agizo la Waziri Mkuu Latekelezwa, Nmb Yatoa Msaada wa Mabati Tabora

    Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 400 kwa Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora, lengo likiwa kuhakikisha inaunga...

READ MORE

Papa Francis, Papa Benedict Wapewa Chanjo ya Corona

KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis (84) amepewa dosi ya kwanza ya chanjo dhidi ya  virusi vya corona...

READ MORE

Wanne Mbaroni Kukutwa na Madini

WAFANYABIASHARA wanne wa madini, Mohammed Innamula, Mubarack Mullas, Rivzi Yoonus (wote raia wa Sri Lanka) na Mtanzania mmoja, Mehboob Rattansi,...

READ MORE

Chato: Maalim Akutana na JPM, Mwinyi – Video

MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Maalim Seif Akagua Daraja la JPM, Atia Neno – Video

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka Watanzania kulinda miradi inayojengwa katika...

READ MORE

Magufuli Awapongeza Mwinyi, Maalim Seif – Video

  RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kutanguliza maslahi ya nchi mbele na kuhakikisha amani inaendelea ili wananchi waendelee na shughuli...

READ MORE

Gari la Maiti Lakamatwa na Shehena ya Mirungi Tanga

JESHI la Polisi Mkoani Tanga limemkamata mkazi wa Kimara Jijini Dar es Salaam Simon Pasian Tarimo(37) akiwa amebeba mirungi bunda...

READ MORE

TCRA Yawakaanga Cable TV Kanda ya Ziwa

MAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) Kanda ya Ziwa imewapiga marufuku wamiliki wa Cable TV kuonyesha vipindi ambavyo havitakiwi katika cable...

READ MORE

Wanaodaiwa Kufanya ‘Biashara ya Walemavu’ Wafikishwa Mahakamani

WASHITAKIWA 15 wanaodaiwa kuwatumikisha walewavu waliokamatwa katika maeneo ya Tandale jijini Dar es Salaam hivi karibuni, wamefikishwa katika Mahakama ya...

READ MORE

Vikao vya Kamati za Bunge Kuanza Januari 18

Vikao vya Kamati za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vinatarajiwa kuanza kufanyika Januari 18 hadi 31, 2021 jijini...

READ MORE

Serikali Yafafanua Uhaba wa Mafuta ya Kupikia

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb), amewahakikishia wananchi kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta ya kula itatengemaa...

READ MORE

Washindi 40 Droo ya 6 NMB MastaBATA wavuta mkwanja

DROO ya sita ya Kampeni ya NMB MastaBATA, inayoendeshwa na Benki ya NMB, imefanyika jijini Dar es Salaam, ambako washindi...

READ MORE

Utashangaa! Baba Derava, Mama Konda, Wote ndani ya Gari Moja

Inaweza kuwa jambo lisilo la kawaida kuona kondakta wa kike akipiga debe katika daladala iliyojaa abiria kwenye mitaa yenye pilikapilika...

READ MORE

Mwanafunzi Kijijini Aliyefaulu ‘A’ Masomo Yote Amkuna Shigongo

MWANAFUNZI Said Yusuph Robert aliyekuwa akisoma katika Shule ya Msingi Luholongoma, Kata ya Kafunzo, Halmashauri ya Buchosa, mkoani Mwanza, ambaye...

READ MORE

Padri Anayedaiwa Kubaka, Kumpa Mimba Mwanafunzi Afunguliwa Mashtaka Upya

ALIYEKUWA Paroko wa Parokia ya Manushi Jimbo Katoliki la Moshi, Padri Erasmus Swai (44), ambaye anakabiliwa na kesi ya kubaka...

READ MORE

Waziri Awataka Wafanyakazi Uchukuzi Wasifanye Kazi kwa Mazoea

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho, amewataka wafanyakazi wa sekta ya uchukuzi kujenga tabia ya kujiendeleza kielimu...

READ MORE

Rais Mwinyi Asamehe Wafungwa 49

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) 49 waliokuwa...

READ MORE

Rais Nyusi: Magufuli Sili Sembe, Mama Nyerere Alinipikia Mbuzi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi, amewasili Uwanja wa Chato Mkoa wa Geita katika ziara yake ya kikazi...

READ MORE

Polisi Watajwa Kushirikiana na Waliovamia Bunge

  TUKIO la Marekani la wafuasi wa Rais Trump kuvamia Bunge limezua sura mpya baada ya baadhi ya Wawakilishi kusema...

READ MORE

Live: Rais Nyusi Awasili Nchini, Apokelewa na JPM

Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi, amewasili nchini hii leo Januari 11, 2021, katika ziara yake ya siku mbili wilayani Chato,...

READ MORE

Wakurugenzi Wakalia Kuti Kavu, Silinde Awapa Maagizo – Video

NAIBU waziri wa nchi, ofisi ya Rais – Tamisemi, David Silinde, ametoa maagizo kwa wakurugenzi wote nchini waliopewa fedha shilingi...

READ MORE

Mmoja Afariki Gari la RPC Likiteketea kwa Moto

GARI la Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita na gari ndogo la abiria aina ya Hiace jana, Januari 11, 2021,...

READ MORE

Wawili Wanusurika Basi Likitumbukia Baharini – Video

WATU wawili wamenusurika kifo baada ya basi la Pollman Tours na Safari Company walilokuwa wamepanda kuteleza na kuzama baharini katika...

READ MORE

Wawili Wafariki Katika Ajali Tarime

DEREVA wa Mkurugenzi wa Tarime Mji na Afisa Maendeleo ya Jamii jana Januari 10, 2021, walifariki dunia baada ya gari...

READ MORE

DC Gondwe: Tuache Maneno, Tufanye Kazi – Video

WAKAZI wa Wilaya ya Temeke wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo na kuhakikisha maeneo yake yanakuwa katika hali...

READ MORE

Wananchi Wagoma Kufungiwa Mita za Maji

  BAADHI ya wananchi wa Kata ya Kalela wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wametishia kutotumia maji yanayotolewa na mradi wa...

READ MORE

5 Wajeruhiwa Basi ‘Simba Mtoto’ Likipata Ajali Chamwino- Video

WATU watano wamejeruhiwa wakati basi la abiria kampuni ya Simba Mtoto linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Tanga kupata...

READ MORE

RC Morogoro Aamuru Kuswekwa Ndani Wenyeviti 21

MKUU wa mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani wenyeviti wa vitongoji 21 wa halimashauri ya...

READ MORE

Simbachawene Ampa Sirro Siku 7 Kushughulikia Bajeti ya Mbwa – Video

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amempa siku saba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP)...

READ MORE

Silinde Amvua Madaraka Mwalimu Mkuu Ikhanoda – Video

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na  Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde, amemvua madaraka Mwalimu Mkuu wa...

READ MORE

Utata Kifo Kigogo Bima

UTATA umeibuka kufuatia kifo cha Ofisa wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) mkoa wa Tabora aliyefahamika kwa jina la...

READ MORE

Matatani Kunywa Pombe na Wanawake Wawili Baa

KWANI kunywa bia na wanawake wawili baa ni kosa kisheria? Si ndivyo utakavyohoji? Sasa UWAZI linakuambia wewe endelea na udadisi...

READ MORE