×

Kitaifa

Mfumo wa Kuuza, Kununua Hisa Kwa Njia ya Simu za Mkononi Wazinduliwa

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA)imezindua mfumo wa kuuza na kununua hisa kwa njia ya simu za mkononi katika...

READ MORE

Kisa Fumanizi, Mrembo Atimuliwa Kijijini

UONGOZI wa kitongoji cha Namayana katika Kijiji cha Namayana wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, umetoa siku saba kwa mkazi mmoja...

READ MORE

Baba Amkata Sime Mwanaye, Kisa Ushirikina

MTOTO mwenye umri wa miaka tisa, mkazi wa Kitongoji cha Batini, wilayani Gairo, mkoani Morogoro, amenusurika kifo baada ya kukatwa...

READ MORE

GGML, NEEC Waanzisha Mafunzo kwa Wafanyabiashara 500 Geita

Katika jitihada za kuwapatia maarifa na ujuzi wajasiriamalimkoani Geita juu ya mchakato wa manunuzi yanayofanywa na Kampuni ya Geita GoldMining...

READ MORE

Live: CCM Yapitisha Majina Haya Umeya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha majina ya madiwani walioomba kuwania umeya wa majiji, manispaa na wenyeviti wa halmashauri katika maeneo...

READ MORE

Tanzania Yakanusha Kuwekewa Vikwazo na EU – Video

  BALOZI  wa Tanzania nchini Ubelgiji, Jestas Nyamanga, amesema taarifa zinazoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba Bunge la Umoja...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Tai Nyekundu, Blue, Zambarau Rais JPM Akiapishwa, Kufungua Bunge

UWANJA wa Diplomasia tumepokea maswali mengi kuhusu tai alizovaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli wakati...

READ MORE

Wakurugenzi Wawili Kizimbani Kwa Makosa 45 Yakiwemo Ya Utakatishaji wa Sh Bil 1.6

Wakurugenzi wawili wa Kampuni ya Vinywaji Vikali (BEVCO) akiwemo Raia wa Ufaransa, Melaine Philippe wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Rais Mwinyi Amsubiri Maalim Seif Ikulu – Video

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, anasuburi uamuzi wa Maalim Seif Sharif Hamad na chama chake cha ACT...

READ MORE

IGP Sirro: Lissu, Lema Rudini Tujenge Nchi – Video

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, amewataka wanasiasa waliokimbia nje ya nchi kwa madai ya kutishiwa usalama wa...

READ MORE

Rais Mwinyi Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya...

READ MORE

Babu Kuozea Jela, Kuchapwa Viboko

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu kifungo cha maisha jela na kumchapa viboko sita, mkazi wa...

READ MORE

Mwinyi Abaini Madudu Kwenye Hospitali, Atoa Miezi 3

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Mnazi Mmoja na kuutaka  uongozi wa...

READ MORE

Serikali Yafunga Kamera 306 Mgodi wa Mirerani

  Kwa mara nyingine tena Ukuta unaozunguka Migodi ya Tanzanite Mirerani wenye urefu wa kilomita 24.5 umeingia kwenye historia nyingine...

READ MORE

Wanafunzi 5,168 wa Mwaka wa Kwanza Wapangiwa Mikopo ya Tsh Bil 19.9

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya wanafunzi 5168 wa awamu ya pili wa...

READ MORE

NMB Yazindua Klabu Ya Wanawake, Mwanamke Jasiri!

Benki ya NMB imezindua klabu maalumu ya wanawake waliyoipa jina la Mwanamke Jasiri, yenye lengo la kuwahimiza wanawake kutambua fursa mbalimbali zilizopo ndani...

READ MORE

Hatimaye Tecno Camon 16s Yazinduliwa Rasmi

Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imezindua rasmi  simu yake mpya toleo la CAMON 16s leo jijiini Dar es...

READ MORE

Dkt. Mpango Aanza Kazi, Atoa Maagizo

WAZIRI  wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amewataka watumishi wa wizara yake kuhakikisha wanasimamia kikamilifu mapato na matumizi ya...

READ MORE

Wabongo Wanne Wahukumiwa Kenya

Watanzania watatu kati ya wanne wanashikiliwa nchini Kenya baada ya kushindwa kulipa faini ya Sh105,000 za Kenya (zaidi ya Sh2.1...

READ MORE

9 Mbaroni Wakidaiwa Kuchoma Nyumba ya Diwani, Kuua

POLISI Mkoa wa Pwani inawashikilia watu tisa wanaotuhumiwa kuchoma moto nyumba ya aliyekuwa diwani mteule wa kata ya Kikongo, Halmashauri...

READ MORE

Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo Ahukumiwa Mwaka Mmoja

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu kifungo cha nje cha mwaka mmoja, Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo baada ya...

READ MORE

Mwili wa Askari Aliyedaiwa Kuuawa Pemba Wapatikana

POLISI Mkoa wa Kusini Pemba imefanikiwa kuupata mwili wa aliyekuwa askari wa kikosi cha KVZ, Khalfan Junedi, aliyedaiwa kuuawa wiki...

READ MORE

Tanzia: Kamanda Kidavashari Afariki Dunia

  NAIBU Kamishna wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Zahir Kidavashari,  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne, Novemba 17,...

READ MORE

Tshala Muana Mbaroni Akidaiwa ‘Kumnanga’ Rais

SHIRIKA la kutetea haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (ACAJ), linataka maofisa wa usalama nchini humo kumwachilia...

READ MORE

Kichanga Chaokotwa Mto Msimbazi

WATEMBEA kwa miguu mchana jana Jumatatu, Novemba 16, 2020, wakipita kando na mto Msimbazi jijini Dar es Salaam walikumbwa na...

READ MORE

Tanzania Pekee Yatajwa Kutokuwa na Corona Ulimwenguni

RIPOTI iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na kisha ripoti hiyo kuchambuliwa na...

READ MORE

Dkt. Mpango: Tumefikia Uchumi wa Kati, Umaskini Bado Upo – Video

BAADA ya kula kiapo cha kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema, pamoja na #Tanzania kuwa imeingia...

READ MORE

JPM: Lukuvi, Kabudi Hamtakuwa Marais, Jiandaeni Kisaikolojia – Video

RAIS John  Magufuli amesema kuwa hadhani kama chama chake kitapitisha mgombea wa urais anayezidi umri wa miaka 60 katika uchaguzi...

READ MORE

Magufuli: Sina Haraka ya Kuteua Mawaziri… – Video

  RAIS John  Magufuli amesema kazi ya kuteua mawaziri ni ngumu, hivyo lazima amtangulize Mungu, ili anayestahili asije akamuonea, huku...

READ MORE

Magufuli Amwapisha Majaliwa, Kabudi & Mpango – Video

RAIS John Magufuli amemuapisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya kuteuliwa Novemba 12, 2020 na kuthibitishwa na...

READ MORE

JPM: Uwaziri Mkuu Hauna ‘Guarantee’, Nampa Pole Majaliwa… – Video

RAIS John Magufuli amesema kuwa kazi ya Uwaziri Mkuu haina dhamana kwamba kila atakayeteuliwa atakaa kwa miaka mitano kwani anaweza...

READ MORE

Magufuli Kumwapisha Majaliwa Leo – Video

RAIS John Magufuli leo, Jumatatu, Novemba 16, 2020, atamwapisha Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

NMB Yawaandalia Hafla Fupi Wabunge, Yawapongeza Kwa Kuchaguliwa Kwao

Benki ya NMB jana imeandaa hafla maalum jijini Dodoma ya kuwakaribisha Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la 12, lililozinduliwa hivi...

READ MORE

Kongamano la ‘Woman of Influence’ Lajadili Madhara ya Covid 19

  AKINAMAMA Wajasiriamali mbalimbali wamekutana katika kongamano la ‘Woman of Influence, I’m Possible’ kujadili changamoto za ugonjwa wa Covid 19...

READ MORE

TAKUKURU, Mkurugenzi wa Jiji Dar Waokoa Bil. 12 Stendi ya Mbezi Luis

Mkurugenzi mkuu Takukuru, Brigedia John Mbungo amesema ofisi yake kwa kushirikiana na mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Zipora...

READ MORE

NEC Yatangaza Uchaguzi Mwingine Desemba 8, 2020

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeitisha uchaguzi mdogo katika kata tatu, Nyahanga, Igumbilo na Kibosho Kati, zilizoshindwa kufanya uchaguzi...

READ MORE

Bilionea Anayenunua Gunia la Mahindi kwa Elfu 75 na Kuuza kwa Elfu 45 Anaswa!

USICHEZE na serikali weweee! Siku chache baada ya bilionea wa ajabu aitwaye Agustino Njaku kutikisa mkoa wa Ruvuma na serikali...

READ MORE

Keissy: Sielewi Kilichotokea

KADA machachari wa Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyeangushwa katika nafasi ya ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Ally Keissy...

READ MORE

Mwenyekiti Adaiwa Kumtundika Denti Mimba

KATIKA kile kinachoonekana kumjaribu Rais Dk John Magufuli, Mwenyekiti wa Kijiji wilayani Magu Mkoa wa Mwanza, Badri Juma Masengo (40),...

READ MORE