×

Kitaifa

Mgombea Ujumbe Serikali ya Mtaa Adaiwa Kuuawa

ALIYEKUWA mgombea wa Ujumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mnara wa Voda jijini Arusha, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Naibu Waziri ‘Ahamia’ Rasmi Shamba – Pichaz

NAIBU Waziri wa wa Kilimo, Omary Mgumba,  amewahamasisha wakulima wote nchini kuzitumia vizuri mvua zinazoendelea kunyesha kwa kupanda mazao mbalimbali...

READ MORE

RC Gambo: Nimekoma Kusweka Watumishi Ndani

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,  amekumbushia tukio alilolifanya mwaka 2015/16 akiwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma...

READ MORE

Wakala Wa Benki Ya NMB Wapigwa Msasa

    MAWAKALA wa Benki ya NMB Halimashauri za Ubungo na Kinondoni jijini Dar es Salaam wamepigwa msasa katika Semina...

READ MORE

AJALI: Lori la Mafuta Laua Watatu Mlimani City Dar – Video

     WATU watatu amefariki dunia na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori la mafuta mali ya Kampuni ya...

READ MORE

Akamatwa na Kadi 23 za Benki Tofauti, Azisokomezea Ukeni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Bi Halima Juma (23) Mkazi wa Chalinze kwa tuhuma za...

READ MORE

Kitabu cha Utafiti wa Nishati ya Gesi, Madini Chazinduliwa

  TAASISI ya Repoa na Wizara ya Nishati na Madini kwa kushirikiana na Ubalozi wa Norway jana wamezindua kitabu kinachohusu...

READ MORE

Breaking: Aliyekamata Airbus ya ATCL Sauz, Akamata Tena Bombardier Canada – Video

NDEGE nyingine ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier ambayo ilikuwa ikijiandaa kuja Tanzania imekamatwa nchini Canada, ambapo...

READ MORE

Utata Kijana Aliyefia Mikononi mwa Polisi

ARUSHA: Utata umeibuka kwenye tukio la kifo cha kijana Gerald Mesiyaki (22) mkazi wa Sekei mkoani Arusha anayedaiwa kufariki dunia...

READ MORE

Mchungaji wa Kutetema…. Viongozi wa Dini Wapongeza Serikali

SIKU chache baada ya Serikali kupiga marufuku ibada zinazoendeshwa na kiongozi wa kanisa la Mfalme Zumaridi lililoko mtaa wa Iseni...

READ MORE

“Watuhumiwa Wizi Komputa za DPP Wameachiwa, Tunampeleza Idris”

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amekiri kuwa washukiwa wa wizi wa Computer za...

READ MORE

Bukoba: Mkandarasi Manispaa, Mkuu wa Shule Mbaroni

Mkuu wa mkoa Kagera Brigedia Marco Elisha Gaguti amemuagiza Kamanda wa polisi mkoani humo Revocatus Malimi kuwakamata na kuwaweka ndani...

READ MORE

Mradi wa Maziwa Mkombozi wa Wafugaji

TANZANIA kwa kushirikiana na taasisi ya kimataifa ya uwezeshaji mifugo ya maziwa ya Land o’Lakes imezindua mradi wa miaka minne...

READ MORE

JPM: “Muroto Nilikupa Pesa Zangu, Sirro Ningeteua IGP Wangu”- Video

   Rais Dk. John Magufuli leo Novemba 22, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 118 za...

READ MORE

Simbachawene, Kalemani Kupamba Maonesho Ya Nishati Jadidifu

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene na Waziri wa Nishati, Dk Medard...

READ MORE

Rais Magufuli: Vyuo Vikuu Punguzeni Kutegemea Misaada (Picha +Video)

  VYUO vikuu nchini vimetakiwa kufanya tafiti mbalimbali kulingana na mahitaji na vipaumbele vya nchi na kupunguza kutegemea misaada ya...

READ MORE

Mvua yaharibu Nyumba 360 Songwe

MVUA iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha jana jioni Mkoani Songwe imesababisha uharibifu wa nyumba Zaidi ya 360 Katika Wilaya za...

READ MORE

Mahakama Yaelezwa: Tundu Lissu Amepona, Lakini….

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imeelezwa kuwa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameshapona ila anashindwa...

READ MORE

JPM Aagiza Majengo ya Ofisi za Tanroad Dumila Yawe Kituo cha Afya

RAIS Dkt. John Magufuli ameagiza majengo yote yaliyokuwa ya Ofisi za Wakala wa Barabara Tanzania(TANROAD)eneo la eneo la Dumila mkoani...

READ MORE

JPM Atoa Maagizo kwa Vyombo vya Usalama

VYOMBO vya Usalama nchini vimeonywa kutowaonea Wananchi kwa kuwashitaki kama Wazururaji, wakati wana shughuli zao kufanya.   Onyo hilo limetolewa...

READ MORE

Ludewa: Mwanamke Amchinja Mwanae na Kumla Nyama

MWANAMKE mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa (38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga Kata ya Mavanga, Kitongoji Cha Mji...

READ MORE

Dhamana: Mdee, Bulaya, Msigwa, Heche Wapeta Kortini – Video

MAHAKAMA ya ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Novemba 20, 2019 imetoa uamuzi kuwa wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Bocco atuliza presha Simba, atoa ahadi hii

WAKATI mashabiki wengi wa Simba wakiwa na presha ya kutwaa ubingwa kutokana na kutopata matokeo mazuri katika mechi zao mbili...

READ MORE

Binti Aliyefiwa Baba, Mama, Wadogo Zake Hitaji Moja

HUZUNI, machozi, rambirambi, pole ahadi za malezi kwa Anna Zambi binti aliyefiwa na baba, mama na wadogo zake watatu zimetajwa...

READ MORE

SikuYa Mtoto Duniani NMB Yatoa Salamu

#KwaKilaMtoto, Kila haki inatimizwa!   KATIKA kuadhimisha #SikuYaMtoto Duniani, Benki ya NMB Makao Makuu iliwasha taa za bluu kuunga mkono...

READ MORE

Wachina Wawili Watiwa Mbaroni kwa Amri ya DC

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amewashikilia wakandarasi wawili wenye asili ya china wa Kampuni ya CRJE kwa kushindwa...

READ MORE

Mdee, Heche, Bulaya, Msigwa Mahabusu, Hatima Yao Kujulikana Kesho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kesho Jumatano Novemba 20, 2019 kutoa uamuzi dhidi ya wabunge wanne wa Chadema waliokiuka...

READ MORE

Familia ya Marehemu Balali Yamlilia JPM, “Tusaidie Baba” – Video

Familia ya Marehemu Daudi Balali imemuomba Rais Magufuli kuisaidia kuokoa mali za Gavana huyo wa zamani wa Benki Kuu ya...

READ MORE

Waitara: Mikoa 3 Haitapiga Kura za Uchaguzi Serikali za Mitaa

WIZARA ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema mikoa mitatu haitafanya uchaguzi wa...

READ MORE

Mwanza: Kanisa la Mfalme Zumaridi Anayeabudiwa Lafungwa

UONGOZI wa Serikali katika Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza umepiga marufuku ibada zinazoendeshwa na kiongozi wa kanisa la Mfalme Zumaridi...

READ MORE

Jaji Mkuu Awataka Majaji Wapya Kuwa Sehemu Ya Maboresho

  Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa sehemu...

READ MORE

Swahili Fashion Week Yazinduliwa Dar

Baadhi ya waandishi wa habari na wadau wa mitindo katika uzinduzi wa maonyesho wa Swahili Fashion Week wakichukua tukio hilo....

READ MORE

NMB Yafungua Tawi Jipya Mbezi Louis Dar

  Benki ya NMB imefungua tawi lake jipya jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa mpango wake wa kufikisha...

READ MORE

Wanafunzi Wafaidika na Elimu ya Kuweka Akiba Kupitia Benki ya NMB

  Katika kutambua umuhimu wa vijana ambao ni Taifa la kesho, Wanafunzi wa kidato cha sita wa Shule ya Wasichana...

READ MORE

Fahamu njia ya Kisasa ya Kupandikiza Mbegu za Ng’ombe

Wafugaji kote nchini wametakiwa kutumia njia ya Uhimilishaji/upandishaji mbegu za ng’ombe kwa njia ya kisasa ili kuweza kupata mbegu nzuri...

READ MORE

Mkesha wa Vijana Kuisimamisha Dar Leo

TANGU mwaka 2005, Kanisa la Victory Christian Center chini ya Mchungaji Dr Huruma Nkone limekuwa likiandaa mkesha mkubwa wa wanafunzi...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Heche, Msigwa, Bulaya, Mdee Wakamatwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo...

READ MORE