×

Kitaifa

LIVE: Maadhimisho ya Sherehe za Muungano Kutoka Dodoma – Video

Sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yanafanyika katika Uwanja wa jamhuri...

READ MORE

KAFULILA: TRIL 1.5 SIYO KITU KIPYA, MWAKA 2012/13 ILIKUWA TRIL 3.48

Na David Kafulila Kumekuwa na uvumi unaosambazwa na baadhi ya wanasiasa kwamba kuna ufisadi wa 1.5 trn kufuatia ripoti ya...

READ MORE

TECNO IKISHIRIKIANA NA TIGO IMEWALETEA TECNO CAMON X RASMI TANZANIA

KAMPUNI ya simu ya TECNO ikishirikiana tigo imewaletea TECNO CAMON X ikiwa ni muendelezo wa toleo la ‘CAMON’ iliyoboreshwa zaidi...

READ MORE

MALARIA YAPUNGUA KWA ASILIMIA 7. 3 NCHINI

MAAMBUKIZI  ya  viashiria vya ugonjwa wa  Malaria  Nchini Tanzania yamepungua  kwa Watoto chini ya miaka mitano  kutoka asilimia 14.4 mwaka...

READ MORE

Makamba: Bunge Halikupitisha Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato – Video

Mbunge wa viti Maalum Shinyanga, Salome Makamba, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano amesema Bunge halikupitisha...

READ MORE

STEVE NYERERE: MZEE MAJUTO ATATIBIWA INDIA – VIDEO

WASANII wa Bongo Muvi leo wamemtembela Muigizaji Mkongwe Nchini, King Majuto, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Tumaini iliyopo Upanga Jijini...

READ MORE

Mlinga: Wapinzani Mnatukana Matusi Hamna Jema – Video

Mbunge wa Jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ni lazima kwanza aanze kwa...

READ MORE

Halima Burembo: Upinzani Mkishindwa Njooni CCM – Video

Mkutano wa Bunge la 11 umendelea leo mjini Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakichangia bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano...

READ MORE

PROF JAY Alivyotumia Staili ya ‘Ku-Rap’ Bungeni – Video

Mbunge wa Mikumi kupitia Chadema, Joseph Haule, akichangia Mjadala wa ujenzi wa barabara uliopo katika bajeti ya wizara ya ujenzi,...

READ MORE

BOMBARDIER ZILIVYOMUIBUA HECHE BUNGENI LEO- VIDEO

MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche akichangia hoja inayohusu bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, amesema hakuna mtu anapinga...

READ MORE

MASALA: Siyo Lazima Wabunge Wote ‘Tutoe Mapovu’ – VIDEO

Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala akichangia hoja kwenye bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, amesema siyo lazima kila mbunge...

READ MORE

HATARI: Panya Road Wazua Balaa Dar, Mtu Mmoja Afariki – VIDEO

Wakati matukio ya vijana wadogo maarufu kama Panya Road kuvamia na kujeruhi watu yakiwa yameanza kusahaulika, tukio jipya limeibuka Ulongoni,...

READ MORE

WAZIRI UMMY; VYANDARUA NI BURE, ATAKAYEUZA KUKIONA

WAZIRI Wa Afya Maendeleo ya Jamiii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza Waganga Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Waganga...

READ MORE

Sakata la Tiketi za Mwendokasi, Maxcom Waishtaki UDA-RT

Kampuni ya Maxcom Africa PLC imeeleza kuwa, imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Kampuni ya...

READ MORE

Ndege ya Emirates Yenye Abiria 475 Yatua kwa Dharura Dar

NDEGE ya Shirika la Emirates iliyokuwa ikielekea Mauritius ikiwa na abiria 475 wakitokea Dubai, imetua jijini Dar es Salaam leo...

READ MORE

MAGUFULI AZINDUA OFISI KUU NA MATAWI YA NMB DODOMA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  ofisi na matawi mawili ya Benki ya NMB Tanzania ambayo imepewa...

READ MORE

Wizara ya Afya, WHO Kutokomeza Magonjwa ya Mlipuko

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Ufatiliaji na Udhibiti, Dkt Janet Mghamba, amezungumzia juu ya magonjwa ya mlipuko nchini na namna ambavyo...

READ MORE

JOHN HECHE: Waliniambia Watanipoteza – VIDEO

MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche, anadai kutishiwa maisha na mwandishi wa habari ambaye anajitangaza kuwa ni mtu wa usalama...

READ MORE

KESSY: 2020 Upinzani Mtapata Aibu Kubwa, Kura Zote CCM – Video

  Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kessy akichangia hoja bungeni leo kuhusu Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano amemuomba Waziri Prof....

READ MORE

Mzee Majuto Agoma Kutibiwa Nje ya Nchi – Video

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Kilakala, amemtembelea muigizaji mkongwe nchini, King Majuto, aliyelazwa katika Hospitali ya...

READ MORE

KUBENEA ADAI HUENDA BOMBARDIER ZIKAKAMATWA TENA – VIDEO

  MBUNGE wa Ubungo – Dar es Salaam, Saed Kubenea akichangia hoja bungeni leo kuhusu Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano...

READ MORE

KADUTU: Mkiambiwa Mambo Yenu Mengine Mnakuja Juu – VIDEO

MBUNGE wa Ulyankulu, John Peter Kadutu, amesema si busara kwa Wabunge kuweka mjadala wa kuwajadili viongozi wa dini kwani wana...

READ MORE

MZEE GERALD: NILIGOMBANA NA MWANANGU AGGY KISA USANII – VIDEO

BABA mzazi wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’, Mzee Gerald Waya amefunguka alivyokuwa akigombana na mwanaye huyo akimsihi aachane na mambo...

READ MORE

DKT. FADHILI AMUUNGA MKONO JPM, TANZANIA YA VIWANDA

  MKURUGENZI wa Kampuni ya Fadhaget inayomiliki kiwanda cha Virutubisho Tiba Fadhaget Nutrition Science, Dkt Fadhili Emily ameishukuru Shirika la...

READ MORE

BREAKING: MWILI WA LEYLA WAWASILI NYUMBANI KWAO KALOLENI, ARUSHA

Mwili wa Mtanzania, Leyla Mtumwa anayedaiwa kuuawa kwa kuchomwa visu na mumewe, Kema Kasambula, mwezi uliopita jijini London nchini Uingereza...

READ MORE

MTOTO AWALIZA WAOMBOLEZAJI, MZAZI MWENZA AFUNGUKA MAZITO

MZAZIi mwenzake na marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na marehemu, ambapo amesema mawasiliano...

READ MORE

WASANII KWA HUZUNI: TANGULIA MASOGANGE

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Movies wakati wa kuuzika mwili wa aliyekuwa...

READ MORE

KWA HERI MASOGANGE: SIMANZI NA VILIO MAZISHI YA AGNESS – (VIDEO+PICHAZ)

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala miongoni mwa waombolezaji wakati wa kuuzika mwili wa aliyekuwa Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’ katika...

READ MORE

JEBBY ‘SWAHIBA’ AZIKWA KWAO DODOMA

MSANII wa Bongo Fleva, Janabi Mmbaraka (Jebby) maarufu kama Swahiba, aliyefariki dunia jana mchana, amepumzishwa katika nyumba yake ya milele...

READ MORE

HATIMAYE MWILI WA LEYLA WAWASILI TANZANIA, KUZIKWA ARUSHA

  Mwili wa Mtanzania, Leyla Mtumwa anayedaiwa kuuawa kwa kuchomwa visu na mumewe, Kema Kasambula, mwezi uliopita jijini London nvhini...

READ MORE

SPIKA EALA AIPONGEZA TANZANIA KWA MAENDELEO

SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Dkt. Martin Ngoga ameishukuru na kuipongeza Serikari ya Tanzania kwa ujenzi wa miradi...

READ MORE

HATIMAYE! MTOTO WA MASOGANGE KUSOMESHWA HADI CHUO KIKUU

MMILIKI wa Shule ya St. Patrick ya Jijini Dar es Salaam, Ndele Mwaselela amejitolea kumsomesha mtoto wa marehemu Agness Gerald...

READ MORE

MBALIZI YAFURIKA KUUPOKEA MWILI WA MASOGANGE

MAMIA ya wananchi wakazi wa Utengule, Mbalizi na maeneo ya karibu wamejitokeza kuungana na familia, ndugu, jamaa, marafiki na wasanii...

READ MORE

BELLE 9 AANGUA KILIO BAADA YA KUONA JENEZA LA MASOGANGE

MSANII wa Bongo Fleva Abernego Damian ‘Belle 9’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akiangua kilio mara baada ya kuliona jeneza lenye...

READ MORE

SIMANZI NZITO WASANII WALIPOONA KABURI LA MASOGANGE

HAKIKA ni simanzi, vilio na majonzi baada ya wasanii kuwasili nyumbani kwao marehemu Agness Gerald Masongange na kuliona kaburi mabamo...

READ MORE

MSIBA WA MASOGANGE: HALI ILIVYO NYUMBANI KWA MZEE GERALD

MWILI wa msanii, Agness Gerald ‘Masogange’ tayari umeshawasili nyumbani katika kijiji cha Utengule, Mablizi, mkoani Mbeya tayari kwa taratibu za...

READ MORE

KUTOKA BUNGENI: Mkutano wa Bunge – Maswali na Majibu (Aprili 23, 2018)

Mbunge Kassim Ally ameululiza Serikali ina mpango gani kuifanya TANESCO ijiendeshe kwa faida ambapo Naibu Waziri wa Nishati, amemjibu Serikali...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Benki ya Posta

Rais John Magufuli amemteua Dkt. Edmund Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania(TPB). Dkt. Mndolwa...

READ MORE

Mke Aliyeuawa Uingereza, Mwili Watua Bongo

MWILI wa Mtanzania, Leyla Mtumwa anayedaiwa kuuawa kwa kuchomwa visu na mumewe, Kema Kasambula, mwezi uliopita unatarajiwa kutua nchini leo...

READ MORE

Mzee Gelard: Agness Aliniaga Kabla Hajafa, Nikalia!

MZEE Gerald Waya, ambaye ni baba mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Bongo Movies na Model, Agness Gerald  ‘Masogange’, amesema mwanaye...

READ MORE