×

Kitaifa

Airtel Yazindua Duka Mbagala

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Airtel Tanzania, Adriana Lyamba wakikata...

READ MORE

Tuhuma za Rushwa: Mbunge Ndassa Naye Afikishwa Kortini

Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa. MBUNGE wa Sumve, Richard Ndassa amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar, leo akituhumiwa...

READ MORE

Mtoto wa Besigye Awania Urais Oxford

Anselm Besigye. MTOTO wa Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye aitwaye  Anselm Besigye ni miongoni mwa wanafunzi waliojitokeza kuwania...

READ MORE

EWURA Yashusha Bei za Umeme

Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote...

READ MORE

Sasa Wakuu wa Wilaya Mguu Pande, Mguu Sawa

Na Mwandishi Wetu UTEUZI unaotarajiwa kufanywa wakati wowote wiki hii wa wakuu wa wilaya kote nchini, unawaweka viongozi hao mguu...

READ MORE

LAPF yatoa msaada wa mabati 300 ya ujenzi wa shule Geita

Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Generali Mstaafu Ezekiel Kyungu akishuhudia mabati yaliyotolewa ma Mfuko wa Pensheni LAPF kwa ajili...

READ MORE

Masoud Kipanya, Fina Mango warejea Clouds FM

Masoud Kipanya (wa kwanza kushoto), Fina Mango (wa pili kulia) na Fredwaa wakiwa katika pozi leo ndani ya studio za Clouds...

READ MORE

Apandishwa Kortini kwa Kutishia Kumuua JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Kondakta wa daladala, Hamim Seif (42) mkazi wa Mwananyamala Ujiji, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya...

READ MORE

Kifo cha Kijana Huyu Chazua Utata

Wakazi wa jirani wakielekea eneo la tukio. Maiti ya kijana Bocho ikichukuliwa na Jeshi la Polisi. ….Wakimiminika eneo la tukio....

READ MORE

Rushwa: Takukuru Imewapandisha Kortini Wabunge Hawa Leo

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge...

READ MORE

Nunua Magazeti ya Global uletewe hadi mlangoni au ofisini

PUNGUZO 10% KWA WAKAZI WA DAR MAGAZETI YA GLOBAL HADI MLANGONI KWA PUNGUZO LA 10% Nunua Magazeti ya Global Publishers...

READ MORE

Ripoti za Wakuu wa Mikoa Kuhusu Watumishi Hewa Hizi Hapa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawen. Dar es Salaam HATIMAYE  wakuu...

READ MORE

Droo ya 3 ya Shinda Nyumba Ilivyofana Jana

Msomaji wa magazeti ya Global Publishers Ltds, akichanganya kuponi ili kuwapata washindi wa droo ya tatu ya Shinda Nyumba jana....

READ MORE

Tanzania Yapewa Bilioni 116.4 Kutoka Japan

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) baada ya kusaini msaada wa bilioni 1116.4 kutoka Serikali...

READ MORE

Millen Foundation yatua mashuleni

Naibu waziri  wa afya  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Dr .Hamis Kibwangala na Millen Happiness Magese Naibu waziri  wa...

READ MORE

Airtel Fursa Yafikia Vijana Wilayani Ngara

Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (wa 3 kushoto) akimkabidhi Kanizio Annatory (katikati) ambaye ni miongoni mwa vijana...

READ MORE

Instagram yaongeza urefu wa kupost video

Watumiaji wa Instagram sasa wanaweza kupost video zenye urefu wa sekunde 60 kutoka sekunde 15 za awali. Mabadiliko hayo yamefanyika...

READ MORE

Shinda Nyumba… droo ya 3 kufanyika leo

Mshindi wa droo ya pili ya Shinda Nyumba alivyokabidhiwa pikipiki. Na Mwandishi Wetu BAADA ya kufanyika kwa kishindo kwa droo...

READ MORE

Taarifa za Watumishi Hewa Zatua Ofisi ya Rais -TAMISEMI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Mtakumbuka kwamba leo ni siku ya 15 ya utekelezaji wa Agizo la...

READ MORE

Wananchi wa Chato Wafurika Kumlaki JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Chato, Mkoani...

READ MORE

Rais Magufuli Apata Lunch Mgahawani Air Port Mwanza Akielekea Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi...

READ MORE

Uamuzi wa MCC utawaumiza wananchi wa vijijini – ACT-Wazalendo

ACT WAZALENDO TAARIFA KWA UMMA UAMUZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA MCC WA KUSITISHA MAHUSIANO NA TANZANIA YATAWAUMIZA WANANCHI WA...

READ MORE

Sumatra na jeshi la polisi wakamata mabasi 105, 36 yafikishwa mahakamani

Meneja Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray (kushoto) akitoa taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani).Kulia ni Ofisa habari wa Idara ya...

READ MORE

Madaktari Kushambuliwa Kwa Maneno… Waziri Ummy Anena

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu. Ndugu Wananchi, Nachukua fursa hii nikiwa Waziri...

READ MORE

Airtel fursa yafikia vijana Wilayani Ngara

Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (wa 3 kushoto) akimkabidhi Kanizio Annatory (katikati) ambaye ni miongoni mwa vijana...

READ MORE

NMB sasa yawafikia wakazi wa Katoro pamoja na Nyamongo

  Mkuu wa Wilaya ya Geita – Manzie Mangachie (kushoto) akimpongeza Meneja Mwandamizi wa Mitandao ya Matawi ya NMB –...

READ MORE

Ongea Deilee yazidi kuleta unafuu kwa wananchi

Wananchi na wateja mbalimbali waifurahia huduma ya Ongea Deilee inayotolewa na Vodacom Tanzania ambayo ilizinduliwa mapema mwezi uliopita ambayo inazidi...

READ MORE

Mashirika 110 Yasiyo ya Kiserikali Kufutwa

KUFUTWA USAJILI KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (110) KWA KUJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA KUANZIA TAREHE 30/03/2016. Msajili wa Mashirika Yasiyo...

READ MORE

Baadhi ya abiria kwenye ndege ya Misri iliyotekwa waachiwa

ABIRIA wengi waliokuwa katika ndege ya Misri iliyotekwa nyara na kulazimishwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Larnaca kusini mwa...

READ MORE

Chaguzi Dar, Zanzibar zimekwisha; tuchape kazi

Mshindi wa Urais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Cheti cha Ushindi. Kila mmoja nchini anajua uchaguzi wa Zanzibar...

READ MORE

Rais Magufuli, Sumatra iangaliwe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. NIWAPONGEZE wote waliovuka salama katika kipindi cha Sikukuu ya...

READ MORE

Jumanne MheroNgoma: Mvumbuzi wa Tanzanite-2

Baada ya kuibiwa jiwe lake hilo la Tanzanite, akili ya Ngoma ilifanya kazi haraka na akaamua kwenda kupata leseni ya...

READ MORE

Meja Jenerali Kisanko Azikwa Dar

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Jenerali Mstaafu, January Claudio Kisanko katika makaburi ya...

READ MORE

Rais Magufuli Amuapisha Mkuu wa Mkoa wa Songwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa...

READ MORE

Ajali ya Basi Yaua 6 Iringa

WATU 6 wamekufa na  wengine  38 kujeruhiwa  vibaya  baada  ya  basi lenye  namba  za  usajili    T 798 AKV mali...

READ MORE

Miss Ubungo awapa zawadi ya Pasaka watoto yatima

Miss Ubungo 2014, Diana Joachim (kulia) akimkabidhi zawadi mtoto Anitha Constantine ambaye anayeishi katika Kituo cha Chakuwama- Sinza. Watoto wanaoishi...

READ MORE

Rais Magufuli ahudhuria ibada ya Pasaka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki...

READ MORE

Serikali: hatutateketeza Meno ya Tembo

Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne. Serikali ya Tanzania imetoa tamko kuwa kwa sasa haina mpango wowote wa kuteketeza meno ya...

READ MORE