×

Kitaifa

Benki ya I&M Yatangaza Kupata Faida Miezi Sita 2021

Benki ya I&M Group imetangaza ongezeko la faida kwa asilimia 33 baada ya kodi katika hesabu zake za nusu mwaka...

READ MORE

Fahamu Sababu Mwili wa Hamza Kuzikwa Usiku

MWILI wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi Jumatano, Agosti...

READ MORE

Breaking: Mwana FA Apata Ajali Morogoro

Mbunge wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kama Mwana FA amepata ajali katika eneo la Mkambarani mkoani Morogoro baada ya gari...

READ MORE

Kesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani – Video

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameangua kilio hadharani katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es...

READ MORE

Askari Aliyeuawa na Hamza Azikwa Karatu

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Mary Kipesha amewaongoza Maofisa wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali katika kuuaga...

READ MORE

Kesi ya Mbowe, Mahakama Yakataa Mapingamizi ya Serikali – Video

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Agosti 30, imeanza kusikiliza Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Kivuko cha MV. Tegemeo Charejea, Chaanza Kupiga Kazi Buchosa – Video

HATIMAYE huduma za Kivuko cha MV. Tegemeo kinachofanya safari zake Kati ya Kijijicha cha Kahunda (Halmashauri ya Buchosa) – Sengerema,...

READ MORE

Mbowe Amgeuzia Kibao DPP

Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kukubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

Coastal Yaandika Historia Afrika kwa Kubeba Cheti cha Usalama IATA

USALAMA ni moja ya nguzo muhimu katika masuala ya usafiri wa anga. Hiki ndio kigezo ambacho kimezishinda kampuni nyingi za...

READ MORE

Oman Yaondoa Katazo Abiria wa Tanzania

UBALOZI unapenda kuwajulisha kuwa Serikali ya Oman imeondoa katazo la kuingia Oman kwa abiria kutoka Tanzania na nchi zingine zilizokuwa...

READ MORE

Rais Samia Akoshwa na NBC Kuboresha Huduma za Afya, Elimu Zanzibar

Zanzibar: Agosti 29, 2021: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mwishoni mwa wiki alikabidhiwa Kliniki inayohamishika (mobile...

READ MORE

Moto Wateketeza Nyumba 19 Rufiji – Video

Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge pamoja na wajumbe wa kamati ya usalama ya wilaya ya Rufiji wamefika kwenye...

READ MORE

Rais Samia Aanza Rasmi Kurekodi Kipindi cha Royal Tour

Rais Samia Suluhu Hassan Ameanza Rasmi Kurekodi Kipindi Maarufu cha Royal Tour Chenye Lengo la Kuitangaza Tanzania Tanzania Kimataifa  

READ MORE

Hamza Azikwa Kisutu Usiku Dar

  Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa...

READ MORE

IGP Sirro: Wazazi Wengine Wasituzalie Watoto Kama Hamza – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amesema kuwa ndugu wa Hamza Hassan Mohammed aliyeua askari wanne...

READ MORE

Mkuu wa Shule Aonywa Kisa Amber Rutty

​​​​​​​UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeonesha kuchukizwa na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa cha...

READ MORE

Tanzania Yasikitishwa na Denmark Kufunga Ubalozi Wake

  Serikali ya Tanzania imeeleza kusikitishwa kwake na uamuzi wa Serikali ya Denmark kutangaza kuufunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati...

READ MORE

TEN/MET Yaipongeza Serikali Kusaidia Mtoto Wa Kike Kieleimu

  MTANDAO wa Elimu Tanzania, TEN/MET umeipongeza Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa hatua ya kutenga  fedha za...

READ MORE

Benki ya NBC Yakabidhi Vifaa Tiba Kliniki Inayotembea

Zanzibar: Agosti 27, 2021: Benki ya Taifa ya Biashara NBC, hii leo imekabidhi msaada wa vifaa tiba ikiwemo UtraSound machine...

READ MORE

Mchungaji Aliyemtaja Shahidi Yake ni ‘Mungu’ Atupwa Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba mkoani Kagera imemhukumu Mchungaji Merchades Mugishagwe na mkewe Agripina Maganja kutumikia kifungo cha...

READ MORE

Nec Yatangaza Uchaguzi Mdogo Majimbo ya Konde na Ushetu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwepo kwa nafasi mbili za Ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba...

READ MORE

Sirro: Walizani Hamza ni Mtu wa Kawaida, Tumeapa Kufa kwa Risasi – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amesema tukio la mauaji ya askari wanne lililotokea juzi jijini...

READ MORE

Ufaransa Yazungumzia Tukio la Mauaji Dar

Wizara ya Mambo ya nje nchini Ufaransa inasema, mpaka sasa hakuna kinachoashiria kuwa makabiliano ya risasi siku ya Jumatano kati...

READ MORE

Guardiola Kuondoka Man City

Pep Guardiola amesema kuwa ataondoka Manchester City mkataba wake utakapomalizika mnamo 2023 – na anatarajia kuifundisha timu ya taifa.  ...

READ MORE

Walinzi Wengine Wawili Wauawa Dar – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamed Jumaa (37) mkazi...

READ MORE

Jerry Silaa Ajisalimisha, Atolewa Nje – Video

BAADA ya wito wa kukamatwa Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa uliotolewa jana, hatimaye leo Ijumaa, Agosti 27, 2021 Mbunge huyo...

READ MORE

Rais Samia Ateua Mkurugenzi Mpya TANTRADE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya Uteuzi kwa kumteua Bibi Latifa Mohamed Khamisi kuwa...

READ MORE

Bunge Lataka Jerry Silaa Akamatwe

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Udahili Waanza Shule Zilizojengwa na GGML

Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika...

READ MORE

Taarifa Kuhusu Tukio la Mauaji Dar

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili ilipokea majeruhi watano jana tarehe 25 Agosti, 2021, kuanzia majira ya saa saba mchana wakiwa na...

READ MORE

Majirani Wafunguka: Hamza Alikuwa Mtu wa Kawaida – Video

KUFUATIA tukio la jana Agosti 25, 2021 la kijana mmoja anayetajwa kwa jina la Hamza mkazi wa Upanga jijini Dar...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada Wa Mil. 54 Zanzibar, Yadhamini Kikao Kazi cha Jeshi la Polisi Dar

Katika kuhakikisha shamra shamra za Siku ya Kizimkazi visiwani Zanzibar zinafana, Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya hospitali...

READ MORE

Mwalimu Ajinyonga, Aacha Ujumbe Kuhusu Barakoa

MHITIMU wa Ualimu ngazi ya Astashahada ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Majengo, Kata ya Ichenjezya wilayani Mbozi Mkoa wa...

READ MORE

Tanzia: Maalim Seif Azzan Afariki Dunia

Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Kisiwani #Pemba. Alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Harakati za Mageuzi...

READ MORE

Manyara: Aua Mtoto wa Kaka na Kupika Maini Yake

Jeshi la Polisi linamshikilia Harold Hando, kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Kaka yake, Emmanuela Hando (13) kisha kumtoa viungo...

READ MORE

Aliyekuwa Mmiliki wa Mabasi ya Mtei Afariki Dunia

MFANYABIASHARA maarufu mkoani Manyara, James Mtei ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Jambo Express, ambaye pia awali alikuwa mmoja kati...

READ MORE

Raila Odinga Azitembelea Familia za Magufuli na Mkapa

ALIYEKUWA Waziri Mkuu nchini Kenya Raila Odinga hii leo amezitembelea familia za marais wa zamani nchini Tanzania Hayati John Pombe...

READ MORE

Rais Samia Awalilia Askari Waliouawa Kwenye Shambulio Dar

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa familia za askari watatu na askari mmoja wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA...

READ MORE

Polisi Yasema Waliouawa Wafikia Wanne – Video

WATU wanne wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika tukio la kurushiana risasi baada ya mtu mmoja ambaye hajafahamika kuwavamia...

READ MORE