×

Magazeti

Nay, Dayna Aibu Yao!

Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa katika pozi la nusu utupu na msanii wa Bongo Fleva, Aisha Nyange ‘Dayna’. NA...

READ MORE

Baba Diamond Ashinda Njaa

MSIKIE BABA DIAMOND AKIFUNGUKANA WAANDISHI WETU, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Wakati mwanaye staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, mama...

READ MORE

Mauzauza! Familia Zachapwa Bakola Usiku!

Wakazi wa Mtaa wa Kiyombo Shule, Nyantira Kata ya Kitunda jijini Dar, wakiwa kwenye kikao kujadili tukio hilo. GLADNESS MALLYA Risasi...

READ MORE

Baada ya Talaka… Wastara Sasa Hali Mbaya!

Staa wa Bongo Muvi, Wastara Juma akiugulia. NA DUSTAN SHEKIDELE, Risasi Jumamosi Morogoro: Anahitaji maombi! Baada ya kupewa talaka kufuatia madai...

READ MORE

Magufuli okoa hiki kizazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. John Joseph, Dar es Salaam SIJAWAHI kuwa muumini wa...

READ MORE

Thea amkataa Jokate kwenye uigizaji

Jokate Mwegelo. Na hamida hassan Msanii wa filamu wa ‘long time’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ ameibuka na kusema kuwa yeye...

READ MORE

OFM yatumbua jipu Mlimani City

Gari likitoka katika jengo hilo. Stori:  Amran Kaima, Ijumaa: OpAresheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers hivi karibuni ilitumbua jipu...

READ MORE

Waliokamatwa kwa uchangu wahukumiwa

Machangudoa wakiwa chini ya ulinzi wa polisi. Stori: Dustan Shekidele, Morogoro WAREMBO waliokamatwa hivi karibuni kwenye msako wa machangudo na...

READ MORE

Siri 5 ndoa ya Wastara kuvunjika!

Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma siku ya harusi yake na mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Juma. Stori: ...

READ MORE

Zari adaiwa kumpa makavu Kajala

Zarinah Hassan ‘Zari’. Stori:  WAANDISHIWETU Ijumaa Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekuwa na katabia ka’ kujiweka...

READ MORE

Mbunge Chadema amtolea tamko Chid Benz

Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa Jay’. Oscar ndauka, amani DAR...

READ MORE

Mastaa: Bajaj zinatumalizia sana fedha zetu

Staa wa filamu Koletha akiwa kwenye Bajaj. DAR ES SALAAM: Mastaa wa sinema za Kibongo wamedai wanashindwa kusonga mbele kimaisha...

READ MORE

Mtalaka wa Nora aitwa ‘Bushoke’

Akikrangiza. DAR ES SALAAM: Makubwa! Mtalaka wa msanii mkongwe wa sinema za Kibongo, Nuru Nassoro ‘Nora’, Luqman Masoud amedaiwa kufanywa...

READ MORE

Wa kumtoa Babu Seya huyu hapa

Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha wakiwa mahakamani. Waandishi wetu, amani DAR ES SALAAM: Jaji wa...

READ MORE

Machangudoa: alishindwa Makamba sembuse Makonda

Machangudoa wakiwa kwenye mawindo. Erick Evarist na Richard Bukos, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: Licha ya jitihada za serikali kutangaza...

READ MORE

Meja Jenerali Msuya; Alivyokufa na Kufufuka

Meja Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Benjamin Noah Msuya. HAYA ni maajabu ya Mungu! Meja Jenerali...

READ MORE

Ripoti Mpya za bei za mastaa kujiuza

GIFT STANFORD ‘GIGY MONEY’. Na Waandishi Wetu, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: Wakati serikali ikitangaza vita dhidi ya watu wanaojihusisha na...

READ MORE

Rais Magufuli aitumbua Tanesco

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Na Ojuku Abraham,RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe...

READ MORE

Chuchu, Johari wamaliza bifu

Chuchu Hans Mayasa Mariwata,RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Habari mpya mjini kwa sasa ni kuwa wale mahasimu wawili wa muda...

READ MORE

Wauza sukari wamhujumu Rais Magufuli

Sukari. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Upatikanaji wa sukari nchini kwa bei ya Sh. 1,800 iliyotangazwa na serikali...

READ MORE

Hoteli ya kigogo NSSF yazua gumzo

Meneja wa Miradi Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Injinia John Msemo. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI...

READ MORE

Shule yafungwa kisa, Maruweruwe

Wanafunzi wakiwa nje baada ya mabweni yao kuungua. Wanafunzi wamegoma kulala mabwenini, naibu waziri atoa ushauri MBEYA: Wanafunzi wa Shule...

READ MORE

Vigogo wa Unga watoroka nchini!

Mmoja wa kigogo wa unga maarufu mama Leila anayedaiwa kutoroka. Stori: Oscar Ndauka na Hashim Aziz, UWAZI DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Kinara wizi wa bodaboda Dar anaswa!

Kudura Kiboka anayedaiwa kuwa kinala wizi wa bodaboda  Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda Dar es Salaam: Hapa kazi tu! Jamaa anayedaiwa...

READ MORE

Diamond ateketeza Sh.Mil 100 ulaya

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na familia yake. Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, Wikienda DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo...

READ MORE

Mahakama yafungukia kibali cha Lulu kwenda Nigeria

Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu. Stori: Sifael Paul, Wikienda Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa...

READ MORE

Uchaguzi Zanzibar; wapiga kura wagawanyika

Mwananchi wa Zanzibar akipiga kura. Stori: Mwandishi Wetu, Zanzibar UCHAGUZI wa marudio uliofanyika jana Machi 20, Zanzibar umegawa wapiga kura...

READ MORE

Daktari: Maini ya Penny yameharibika!

Mtangazaji wa Zouk TV, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’. Stori: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Habari mbaya! Majibu ya daktari...

READ MORE

Maajabu ya Mungu… Meja Jenerali Afariki, Afufuka!

Meja Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Benjamin Noah Msuya (enzi akiwa kazini). Oscar Ndauka, RISASI JUMAMOSI DAR...

READ MORE

Ripoti Inatisha! Wapaka rangi wanavyomaliza wake za watu na mastaa

 Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake wakiendelea na kazi yao. STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa...

READ MORE

JB, Ester wanaswa kimahaba gizani

Stori: Musa Mteja,Ijumaa Wasanii wa filamu Bongo, Jacob Steven na Ester Kiama juzikati walinaswa wakiwa kimahaba gizani, jambo lililoibua maswali...

READ MORE

Paul Makonda ‘awatumbua’ Bongo Muvi

Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda akiongea na wasanii wafilamu Bongo. Stori: Musa Mteja,Ijumaa Wasanii wa filamu Bongo, Jacob...

READ MORE

Mrembo afanyiwa kitu mbaya

Mrembo huyo akiongea na simu kuomba msaada. Na Chande Abdallah, AMANI Dar es Salaam: Hatari! Mrembo aliyetambulika kwa jina moja...

READ MORE

Nabii aibuka asema, 2016 mastaa vifo tena!

Nabii wa Kanisa la Huduma ya Neno la Upatanisho Nicolas Suguye. Na Oscar Ndauka, AMANI DAR ES SALAAM! Kufuatia wasanii...

READ MORE

Mali za Jide zazua kizaazaa!

Mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Jide’. Erick Evarist, AMANI Dar es Salaam: Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kukabidhiwa talaka...

READ MORE

Kifafa chamharibu Kijana Pua, Macho

Kijana Omar Said Mbalale akiwa ameharibiwa pua baada ya kuugua ugonjwa wa kifafa. Stephano Mango, Amani RUVUMA: Kweli hujafa hujaumbika,...

READ MORE