×

Magazeti

Utajiri wa Jack Pemba Watikisa Uganda

Jack Pemba akimwaga shampeni kwenye gari lake jipya. Stori:  Mwandishi Wetu, Risasi Kampala, Uganda: Kufuru ya matumizi makubwa ya fedha...

READ MORE

Mchepuko Ambwagia Mtoto Hawala!

Mtoto huyo baada ya kuokolewa na wasamalia wema. Shekidele, Risasi  MOROGORO: Mwanamke aliyefahamika kama Mama Gladnes, ambaye ni mchepuko wa...

READ MORE

Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Changia Damu

Makamu wa Rais, Samia Saluhu Hassan. Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais, Samia Saluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Tamasha...

READ MORE

Tumbua majipu yawaliza wauza mitumba

Na Issa Mnally ZOEZI la kuwabana wafanyabiashara wakwepa kodi  sambamba na kuwawajibisha watumishi wa umma wanaokwenda kinyume na majukumu yao,...

READ MORE

Gardner: Ndoa Yangu na Jide Ilivunjwa kwa Simu

Mtangazaji nyota wa redio nchini, Gardner G. Habash na aliyekuwa mkewe, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’. Stori: Mwandishi DAR ES...

READ MORE

Milionea Mtoto Akamatwa Dar

Lwitiko Adamson Mwakasala ‘Tiko’ Stori: Makongoro Oging’  na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Tumbuatumbua majipu ya Rais John Pombe...

READ MORE

Hospital iliyomnasa usalama wa taifa Feki Yaanikwa

Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Ile Hospitali ya Head 2 Toe Super Specialized ya Ununio Kunduchi, Dar ambayo...

READ MORE

Kanyau azidi kusota kortini

Daudi Yakubu Adam ‘Kanyau’  (aliyevaa miwani) akiwa wakili wake, John Mallya. Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI Mfanyabiashara mkubwa jijini Dar aliyepandishwa...

READ MORE

Talaka ya Jide Mazito Yaibuka!

Mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na mumewe Gardner G. Habash ‘Captain’. Na Musa Mateja Risasi Jumamosi DAR...

READ MORE

Mbinu mpya ya Mastaa kujiuza

Masogange Na Mwandishi wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Imevuja! Siri ya maisha mazuri ya baadhi ya mastaa wa kike Bongo...

READ MORE

Hivi Ndivyo Wasanii Walivyotelekezwa Gesti

Wasanii hao wakihojiwa. Stori: Gladness Mallya, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kama hukuipata kwa kina habari ya wasanii 22 wa...

READ MORE

Mastaa waukacha msiba wa John Woka

Mama mzazi wa ‘John Woka’ akiaga mwili wa mwanaye kanisani, katika hospitali ya Muhimbili. NA Mayasa Mariwata, Risasi Jumamosi DAR ES...

READ MORE

Mkubwa Fella; Mheshimiwa diwani fundi wa utunzi Yamoto Band

Imelda mtema na Mayasa Mariwata,Risasi Jumamosi SAID Fella ‘Mkubwa Fella’ si jina geni kwa wapenzi wa muziki Bongo kwa kuwa...

READ MORE

Barua ya Jack Cliff yazua simanzi upya

Video Queen, Jack Cliff. NA Imelda Mtema, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Ikiwa imekatika miaka miwili tangu alipokamatwa na madawa...

READ MORE

Bodaboda auawa na kutelekezwa kanisani

Na STEPHANO MANGO, Risasi Jumamosi SONGEA: MWENDESHA bodaboda, Victoris Bonifasi (25) mkazi wa eneo la Msamala, Halmashauri ya Manispaa ya...

READ MORE

Waziri Kigwangalla atumbua jipu la uchafu Hospitali ya Moro

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kingwangalla...

READ MORE

Mama amcharanga viwembe mwanaye!

Majeraha aliyoyapata baada ya kujeruhiwa na viwembe.   Stori: Joseph Ngilisho, Ijumaa Arusha: Ukatili wa watoto haukubaliki! Mama mzazi aliyetajwa...

READ MORE

Mashauzi adaiwa kuwafanyia mbaya nduguze

Dada yake Isha Mashauzi. Stori: MAYASA MARIWATA, Ijumaa: Dar es Salaam: MKALI wa Mipasho Bongo, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’ hivi...

READ MORE

Shamsa amwaga lazi ukumbini

Msanii wa filamu Shamsa Ford akifanya yake. Na Musa Mateja Msanii wa filamu Shamsa Ford juzikati alitoa kali ya mwaka...

READ MORE

Shilole amlewesha dogo, ‘ambemenda’!

Msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akipozi kimahaba na Medy Music. Stori: Musa mateja, Ijumaa: Dar es Salaam: Baada ya msanii Zuwena Mohammed...

READ MORE

Idris Ajipoza kwa Lulu

Musa Mateja, AMANI Dar es Salaam: Siku chache baada ya taarifa za kutoka kwa mimba ya mwandani wake, Wema Isaac...

READ MORE

Mama amcharanga viwembe mwanaye!

Stori: Joseph Ngilisho, Ijumaa Arusha: Ukatili wa watoto haukubaliki! Mama mzazi aliyetajwa kwa jina moja la Anna, mkazi wa Oysterbay...

READ MORE

Hekalu la Dogo TRA ni Jipu

Na Waandishi Wetu, AMANI DAR ES SALAAM: Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili wameonesha kushtushwa kwao kufuatia mfanyakazi mmoja...

READ MORE

Hii Ndiyo Hatari ya Diamond

Na Mwandishi Wetu, AMANI Dar es Salaam: ‘Uswahilini’ kuna msemo kwamba, mwanaume au kijana rijali ni yule mwenye rekodi ya...

READ MORE

OFM Kazini Yamnasa Mke wa Mtu Akichepuka

DAR ES SALAAM! Kumbe kuchepuka hakuna umri bwana! Mwanamke ambaye jina linapigwa ‘tinted’ kwa sasa, Ijumaa     iliyopita alinaswa akiingia kwenye...

READ MORE

Mrembo Abakwa na bodaboda

Mrembo anayedaiwa kubakwa na bodaboda. Hamida Hassan na Gladness Mallya, Risasi DAR ES SALAAM: Mrembo mmoja (jina linahifadhiwa), mkazi wa...

READ MORE

Nani Analipwa mshahara sh. mil 35?

Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’. Na Mwandishi Wetu, RISASI...

READ MORE

Mimba ya Wema yayeyuka ghafla

Staa wa filamu  Bongo, Wema Sepetu. Stori: WAANDISHI WETU DAR ES SALAAM: Mimba ya staa wa filamu  Bongo, Wema Sepetu...

READ MORE

Msanii Bongo Muvi Anaswa Kwa Sangoma

Msanii huyo akiingia kwa sangoma. Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan, Risasi DAR ES SALAAM: Katika kile kinachodhaniwa kuwa ni...

READ MORE

Mume amfunga mkewe mtini kisa kutopata mimba

Jeni Marwa akiwa amefungwa kamba mtini na mumewe. Stori: Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Nyango Hakimu mwenye umri wa miaka 37,...

READ MORE

‘Msukule’ wa tajiri aendelea vizuri

Mariam Juma aliyepatikana akiwa mtupu katika shimo lenye urefu wa futi kumi, nyumbani kwa tajiri. Stori: Makongoro Oging’, Uwazi DAR...

READ MORE

Waafrika waishio India, Roho Mkononi!

Ndugu wakiwa kwenye kabuli la mpendwa wao  Christian Benjamin Mlyansi. Stori: Amran Kaima na Mtandao. DAR ES SALAAM: Waafrika wanaosoma...

READ MORE

Aliyejipachika cheo cha usalama wa taifa akiona!

Wakimfunga kamba. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Ujanja wa mjini! Jamaa aliyejipachika cheo kuwa yeye...

READ MORE

Wamachinga wamuua tajiri kwa mawe Dar

Mchumba wake akiwa amezimia. Stori: Makongoro Oging’, Uwazi DAR ES SALAAM: Inauma sana! Mfanyabiashara mkubwa wa Kariakoo jijini Dar, Stephen Elija...

READ MORE

Ziara ya waziri mkuu kila kukicha, bandarini kuna kitu

Waziri mkuu amajaliwa akipitia moja ya ripoti. Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda Dar es Salaam: Kunani bandarini? Kufuatia ziara za kila...

READ MORE

Mwanamke ammwagia mwanaume maji ya moto

Abdallah Adamu akipata tabu ya kukaa kutokana na jeraha alilolipata baada ya kumwagiwa maji ya moto. Stori: Mayasa Mariwata na...

READ MORE

Nay wa Mitego: nitauawa muda wowote

Nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Stori: Musa Mateja, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Hali ni tete! Siku...

READ MORE

Kisa utajiri wenye maswali, Zari atajwa freemason

Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ Stori: Musa mateja, Wikienda Dar es Salaam: Mwandani wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Hatimaye Jide apewa talaka rasmi kortini

Judith Wambura Mbibo ‘Jide Stori: Erick Evarist, Wikienda DAR ES SALAAM: BAADA ya mvutano wa muda mrefu, hatimaye diva wa...

READ MORE

Bodaboda afa kwa kugongwa na mjamzito!

STORI: Idd Mumba, Wikienda Mwanza: Inauma sana! Mwendesha pikipiki almaarufu bodaboda, Galus Fabian (30), mkazi wa Ilemela jijini hapa amefariki...

READ MORE