×

Risasi

Mramba, Yona wazua tafrani

Waliovaa ‘ovaroli’ ni Mawaziri wa zamani, Daniel Yona (kulia) na Basil Mramba (kushoto) wakikabidhiwa vifaa vya kufanyia usafi katika Hospitali...

READ MORE

Familia ya Diamond Yalamba Mamilioni

Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’ Gladness Mallya na Mussa Mateja , Risasi mchanganyiko FAMILIA...

READ MORE

Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni; Magufuli Anastahili Sifa

Mungu ni mwema hatuna budi kumshukuru kwa anayotufanyia katika nchi yetu. Baada ya kusema hayo niseme bila kumung’unya maneno kwamba...

READ MORE

Inauma Sana… Mama Afia Daraja la Mahita

Daraja la Mahita Na Dustan Shekidele, Risasi Jumamosi Morogoro: Inauma sana! Baada ya mwanakijiji mwenzao ambaye ni mama kufa kwa kutumbukia...

READ MORE

Recho Ashikiliwa na Polisi Dubai

Winfrida Josephat ‘Recho’. Msala! Mtoto mzuri mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho’ anadiwa kushikiliwa...

READ MORE

Wabunge stop ‘ganja’

Mbunge wa Geita Vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mh. Joseph Kasheku (Msukuma). Na Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DODOMA:Kauli...

READ MORE

Mimba ya Kajala yachoropoka

 Mwigizaji Kajala Masanja. Na IMelda MteMa, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Baada ya kunasa ujauzito ambao ulisemekana ni wa kigogo...

READ MORE

Johari: Nimemchuna sana Ostaz Juma Namusoma

Mkongwe kwenye sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’. DAR ES SALAAM: Mkongwe kwenye sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amevunja...

READ MORE

Dr. Slaa, mkewe wala raha Canada

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Peter Slaa akiwa na mkewe, Josephine Mushumbuzi. DAR...

READ MORE

Mfanyabiashara anasa pichaza mchumba’ke

Mfanyabiashara NA Gabriel Ng’osha, Risasi Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara wa bidhaa mchanganyiko (Machinga) aliyefahamika kwa jina la Khamis Kibiti...

READ MORE

Vigogo wafurika kwa Sangoma kumdhibiti Magufuli

Mtabili maalim Hassan Yahya Hussein. Gladness Mallya na Hamida Hassan, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Kasi ya utumbuaji majipu ya...

READ MORE

Kampuni 3 zamtaka mtoto wa Wema

Staa wa filamu Wema Sepetu. Na Imelda Mtema, Risasi Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Kampuni tatu zimejitokeza kutaka kumtumia kibiashara mtoto...

READ MORE

Msanii yamkuta mazito

Na Dustan Shekidele, Risasi Jumamosi Morogoro: Msanii maarufu wa muziki wa dansi mkoani hapa, Josse Kigenda yamemkuta mazito baada ya...

READ MORE

Mbunge Chadema Achaniwa Suti Mbili na Polisi

Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijuakali akitolewa bungeni na polisi. Na Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DODOMA: KALI ya mwaka. Mbunge...

READ MORE

Wema Awekwa Chini ya Ulinzi

Mama kijacho Wema Sepetu ‘Madam’ STORI: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Mama kijacho Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ kwa mara...

READ MORE

Mjane kulala nje; mapya yaibuka!

Zakia Onesmo STORI: GLADNESS MALLYA, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: NYUMA ya lile tukio la mwanamke mjane aliyetambulika kwa jina...

READ MORE

Mjane: Askofu ananidhulumu nyumba

Na Joseph Ngilisho, Risasi Jumamosi ARUSHA: Askofu wa Huduma ya Jesus Call Mission International, Paulo Jonas Macha iliyopo jijini hapa analalamikiwa...

READ MORE

Kisa kutoalikwa, Wema asusia keki

Staaasiyeishiwa vituko Bongo, Wema Sepetu. NaMusa Mateja, Risasi Mchanganyiko STAA asiyeishiwa vituko Bongo, Wema Sepetu juzikati aligonga tena vichwa vya...

READ MORE

OFM Yabaini Jipu Bima za Afya

Waziri wa afya Ummy Mwalimu. Na Mwandishi Wetu, Risasi mchanganyiko BAADHI ya madaktari wasio waaminifu, wanashiriki kuihujumu mifuko ya Bima...

READ MORE

Heeh eti mimba ya Kajala ya Diamond?

Mwigizaji Kajala Masanja. Na mwandishi wetu, Risasi Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Hee! Huu ni ubuyu mpyaaa! Mwigizaji Kajala Masanja amekiri...

READ MORE

Mzee yusuf, Vanessa kuipeleka Mashallah Dar Live

Mfalme wa Muziki wa Taarab, Mzee Yusuf akiwa na Vanessa Mdee ‘Vee Money’. Na Mwandishi Wetu MFALME wa Muziki wa Taarab,...

READ MORE

Mashehe 5 Waletwa ‘Kumtibu’ Nora

Muigizaji mkongwe wa filamu nchini, Nuru Nassoro ‘Nora’. Na Imelda Mtema, Risasi Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Baada ya hali ya...

READ MORE

Wastara: Nakuja kivingine

Msanii wa filamu Wastara Juma. Na Gladness Mallya MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu...

READ MORE

Mjane alala nje!

GLADNESS MALLYA Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Zakia Onesmo mkazi wa Azimio, Tandika, Dar amepata...

READ MORE

Jokate, Kiba wamwagana

Staa wa Bongo, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’. MUSA MATEJA, Risasi Jumamosi Dar es Salaam: Hii ni habari ya kipekee (Exclusive Story)!...

READ MORE

Rose Muhando ang’atwa na nyoka

Staa anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando. GLADNESS MALLYA Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM! MAJARIBU! Staa anayefanya vizuri...

READ MORE

Dah! Nora asugua benchi miaka mitano

Nuru Nassoro ‘Nora’. NA IMELDA MTEMA STAA aliyekuwa akitingisha kwa wasanii Bongo kutoka Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka...

READ MORE

Steve Nyerere ahenyeshwa polisi

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. MWANDISHI WETU Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Msala! Mwigizaji wa sinema za...

READ MORE

Miss Shepu Bomba na Risasi Jumamosi

Hadija Mngazija. Latifa Omary. Mariam Nasibu. Tunu Mwansembo. Winfrida Musa. TAYARI shindano limeanza kukolea, washiriki sita ambao picha zao ziliwekwa...

READ MORE

Apiga chini shule, aondoka kwao, aanza harakati za muziki

Christian Bella ‘Obama’ Wiki iliyopita ndipo tulianza na Christian Bella ‘Obama’ kwenye kolamu hii akisimulia juu ya maisha yake, aliishia...

READ MORE

Ostaz Juma: Muziki karibu univunjie ndoa

Meneja wa muziki hapa Bongo, Ostaz Juma Namusoma. Musa mateja UKIANZA kutaja majina ya mameneja mbalimbali wa muziki hapa Bongo,...

READ MORE

Idris Amtusi Diamond

Idris Sultan na Wema Sepetu Musa Mateja, RISASI JUMAMOSI DAR ES SALAAM: Hii dharau! Siku chache baada ya staa wa Bongo,...

READ MORE

Mbaroni kwa Madai ya Kuuza Nyama ya Mbwa

Stephano Mango, RISASI JUMAMOSI RUVUMA: Kimenuka! Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Musa Moyo (40) wa Kijiji cha Mbangamawe...

READ MORE

MwanaFA ndo’ Kishazima Bifu na AY

Muziki wa Hip Hop Bongo, Khamis Mwijuma ‘Mwana FA’. Boniphace Ngumije SAMBAZA NA HII SASA! Baada ya ubuyu mzito kusambazwa...

READ MORE

Sakina lyoka Mtangazaji mwenye kipaji cha kipekee

Mtangazaji Sakina Lyoka Leo katika Mpaka Home tunaye mtangazaji mwenye kipaji pekee ambaye anatangaza katika Kipindi cha Ng’aring’ari katika Kituo...

READ MORE

Aunt, mke wa Iyobo wapatana

Mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa na mke wa Iyobo. Imelda Mtema, RISASI JUMAMOSI DAR ES SALAAM: Yamekwisha! Baada ya kudumu ndani...

READ MORE

Kajala Adaiwa Kunasa Ujauzito wa Kigogo

Mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’. Mwandishi Wetu, RISASI JUMAMOSI DAR ES SALAAM: Good news? Huenda mambo yanaweza yakawa yamejipa kwa mwigizaji...

READ MORE

Warembo yawakuta

Gabriel Ng’osha na Makongoro Oging’ RISASI DAR ES SALAAM: Majanga! Warembo wawili wa viunga tofauti jijini Dar ambao majina yao...

READ MORE

Ndoa Ya Wastara Bond Nusu Afe!

Staa wa filamu, Wastara Juma na Mumewe Sadifa Juma. Gladness Mallya na Hamida Hassan, Risasi DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita...

READ MORE

Washindi wa droo ya kwanza ya shinda nyumba kukabidhiwa zawadi leo

Na Mwandishi Wetu BAADA ya wasomaji kadhaa nchini kujinyakulia zawadi kwenye droo ya kwanza ya Shindano la Shinda Nyumba linaloendeshwa...

READ MORE