×

Risasi

Lulu azuiwa kuingia Ikulu

Staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Gladness Mallya na Hamida Hassan, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: Imefichuka! Baada ya kuitwa...

READ MORE

Binamu, zingatia haya Daisalamu

Leo asubuhi nimeletewa barua binamu yangu anataka kuja kunitembelea huku Daisalamu. Nimefurahi sana sijamuona siku nyingi, lakini ngoja nimuandikie barua...

READ MORE

Tiba ya Wasiwasi ‘Anxiety’

Watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kupatwa na wasiwasi lakini huwa hawajui kinachosababisha na jinsi ya kuondoa tatizo hilo....

READ MORE

Babu Seya, Papii, Mapokezi ya Kifalme

Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ NA MWANDISHI WETU Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM! Inawezekana ikawa habari...

READ MORE

Mama Diamond Afanya Kufuru

Mama Diamond akifanya usafi kwenye nyumba yake ya Tandale hivi karibuni. Na Musa Mateja, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: KUFURU! Mama wa...

READ MORE

Jux: sikumpata vanessa kiulaini

MWANDISHI WETU MKALI wa Miondoko ya RnB Bongo, Juma Jux, amesema wakati anaanza kumsarandia kimapenzi staa mwenzake, Vanessa Mdee ‘V...

READ MORE

Kiba amlipua Jokate

Kiba DAR ES SALAAM: Staa anayesumbua na wimbo wa Lupela, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amedaiwa kumlipua Jokate Mwegelo ‘Kidoti’...

READ MORE

Faiza Aonya Mastaa Kuibiana Mabwana

Imelda Mtema MREMBO ambaye jina lake lilivuma zaidi baada ya kutinga na ‘pampers’ kwenye sherehe yake ya kuzaliwa, Faiza Ally,...

READ MORE

MC Pilipili kukinukisha Kanda ya Ziwa

Mwandishi wetu Mchekeshaji mwenye title kubwa Bongo, MC Pilipili anatarajiwa kuwavunja watu mbavu katika Tour ya Nasikia Harufu ya Samaki...

READ MORE

Pablo Masai: Nipo tayari kuondoka FM Academia

Difumba Kuminga ‘Pablo Masai’. Imelda  Mtema MWANAMUZIKI wa Bendi ya FM Academia, Difumba Kuminga ‘Pablo Masai’ amefunguka kuwa anatamani sana...

READ MORE

Joyce Kiria mchimba mkwara mumewe

Joyce Kiria Imelda Mtema Mtangazaji wa Kipindi cha ‘Wanawake Live’ kinachorushwa kupitia Televisheni ya East Africa, Joyce Kiria amefunguka kuwa...

READ MORE

Bella: Siishi Na Kalama, Tumeshindwana

KAMA kawa, kama dawa. Mpenzi msomaji tunaendelea kuwatembelea mastaa mbalimbali nyumbani na kuona namna ambavyo wanaishi na shughuli wanazozifanya. Leo...

READ MORE

Baraka Da Prince ampoza Linex

Barakah Da Prince Nyemo Chilongani Mwanamuziki anayekuja kwa kasi kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Barakah Da Prince ameamua kumpoza mwanamuziki...

READ MORE

Maajbu ajali ya DCM

Ajali ilivyotokea Na Mwandish wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Wakati ajali mbaya iliyohusisha magari matatu ikiwa bado ndani ya vichwa...

READ MORE

Christian Bella: Aandamwa na usalama wa taifa, agombana na Totoo Ze Bingwa

Wiki iliyopita Christian Bella ‘Obama’ alielezea namna alivyomshuhudia mkewe wakati akijifungua mtoto wao wa kiume aitwaye Hance. Kitendo hicho alisema...

READ MORE

Tuzo Ya Lulu yamliza mama Kanumba

Lulu. Na Imelda Mtema, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM! Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Filamu Afrika Mashariki, iliyotwaliwa na Mbongo, chozi...

READ MORE

Mzee yusuf, watulize wake zako!

Boss wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf akiwa na mkwewe. KWAKO Big Boss wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, habari...

READ MORE

Tumekwishaa! Poda Zadaiwa Kusababisha Kansa

Boniphace Ngumije na Gladness Mallya, RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Kuna neno moja tu linaloweza kusemwa kwa sasa, kuwa tumekwisha, baada...

READ MORE

Wakazi wa Mabibo Dar waifurahia Shinda Nyumba

WAKAZI wa soko la Mabibo jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita walijikuta wakifurahia na kuchangamkia vilivyo Bahati Nasibu ya Shinda...

READ MORE

Richie Alivyowasotesha Mastaa Airport

Na Richard Bukos, Risasi Mchanganyiko STAA wa filamu za Kibongo aliyeshinda tuzo katika African Magic Viewers Choice Awards ‘AVCA’ katika kipengele...

READ MORE

Madenti Waandamana Kupinga Udhalilishaji

Na Stephano Mango RISASI mchanganyiko SONGEA: Wanafunzi 106 wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya Namabengo wilaya ya Namtumbo...

READ MORE

Aliyeomba kwa Kutumia Kisu Ala Kibano

Njemba huyo akiwa amekula kibano cha polisi. Na Francis Godwin, Risasi Jumamosi IRINGA: Njemba aliyefahamika kwa jina la Mohammed ambaye amekuwa...

READ MORE

Bella achangwanywa na ‘totoz’ wa Kibongo

Wiki iliyopita Bella alisimulia namna ndoto yake ya kuwa juu zaidi katika kazi yake ya muziki ilivyomfanya kulazimika kuachana na...

READ MORE

Jide ndoa tena

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide. Na Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi Dar es Salaam: Siku...

READ MORE

Gigy ajirekodi video ya utupu

Video Queen wa Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’. Na Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Video Queen anayezitendea haki video...

READ MORE

Magufuli atikisa Kenya, Uganda na Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Arusha hawapo pichani kabla...

READ MORE

Lucky: Napenda sana kucheza na mbwa

KAMA kawaida, Mpaka Home inazidi kuchanja mbuga kutembelea mastaa mbalimbali Bongo. Wiki hii, paparazi wa Mpaka Home alisafiri hadi Mkoa...

READ MORE

Hatarai! Dawa Zenye Madhara Zauzwa Kama Njugu Dar

Mtoto mwenye Phocomelia. Mwandishi Wetu, Risasi DAR ES SALAAM: Dawa aina ya Thalidomide ambayo kama ikitumiwa na mama mjamzito husababisha...

READ MORE

Babu Seya, Papii Kutoka Jela

Nguza Viking “Babu Seya’ (wa pili kulia) na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ (wa tatu kulia) wakisindikizwa na askari magereza....

READ MORE

Kifo cha Mama Banza, Simulizi Inasikitisha

Marehemu Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’, Khadija Masanja Imelda Mtema, Risasi DAR ES SALAAM: Simulizi ya kifo cha mama mzazi wa...

READ MORE

Tcra, Basata msiachwe nyuma na kasi ya Magufuli

KWENU Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata). Habari na poleni kwa majukumu yenu ya...

READ MORE

Unaacha buku 2 unataka nyama?

Asalam alaikum wapenzi wasomaji wa safu hii, bila shaka mu wazima, mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu, mimi namshukuru...

READ MORE

Uzinduzi wa BMM ngwasuma full vituko

Kama kawa kama dawa ni Ijumaa nyingine ambayo mapaparazi wetu wanaotii amri za mkuu wao, Issa Mnally ‘Mzee wa GX...

READ MORE

Miss Shepu

Walioingia Top 5 TAYARItumeingia katika raundi nyingine kabisa ambapo msomaji unatakiwa kumchagua mtu ambaye anastahili kuchukua tuzo. Hawa hapa chini,...

READ MORE

Jokate, Kiba wazichapa

Wapendanao, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Kiba ‘King Kiba’ wakiwa katika pozi. Na mwandishi wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM:...

READ MORE

Mume Akataliwa na Mkewe Anywa Sumu!

Kijana Geofrey Godian baada ya kunywa sumu. Na Gladness Mallya Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kisa kinashangaza! Kijana Geofrey Godian...

READ MORE

Kamatakamata mali za vigogo…

Na mwandishi wetu Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Matumbo joto! Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kuelezea hali waliyonayo wadaiwa 16...

READ MORE

Wolper, Dk. Fadhili siri yao yavuja

Dk. Fadhili katika pozi na Wolper. Na mwandishi wetu Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Siri imevuja! Daktari wa Kitengo cha...

READ MORE

Njemba anasa kwenye dari akidaiwa kuiba

Njemba huyo akiwa juu ya paa. Na Francis Godwin, Risasi Jumamosi IRINGA: NJEMBA mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu...

READ MORE

Gigy Money yamkuta mazito

Video Queen anayeshaini kwenye tasnia ya Bongo Movie, Gift Stanford ‘Gigy mone’. Na Nyemo Chilongani, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM:...

READ MORE