×

Michezo

Yanga SC ya Mabilioni Inakuja

YANGA sasa ipo siriaz na mfumo mpya wa mabadiliko ikishirikiana na La Liga, na inaelezwa mambo yakikamilika, Yanga itakuwa inajiendesha...

READ MORE

Wanigeria Wamuachia Ujumbe Mzito Sven Simba

ABDUL Maikaba, Kocha Mkuu wa Plateau United, amefichua kuwa Simba wana timu nzuri katika michuano hiyo lakini amemtaka kocha mkuu...

READ MORE

Barcelona Kukiwasha na Juventus Leo Usiku!

Katika kuhitimisha hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa, Kundi G kumalizika kwa Barcelona kuwakaribisha Juventus katika dimba la Camp...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aondoka na Majina Matatu ya Plateau

WAKATI dirisha dogo la usajili Tanzania Bara likikaribia, si ajabu kwa majembe matatu ya Plateau United kutua Simba baada ya...

READ MORE

Kisa Kagere, Mo Amvaa Sven

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na mwekezaji wa timu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, amesema licha ya timu yake...

READ MORE

Kaze: Naijua Kazi ya Saido, subirini Shoo!

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anajua kazi ya kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Said Ntibazonkiza ‘Saido’, ndiyo...

READ MORE

Mashine Hii Inakuja Yanga

BAADA ya Yanga kumkosa beki wa kushoto, Eric Rutanga katika dakika za mwisho za usajili uliopita, hatimaye uongozi wa Yanga...

READ MORE

Plateau Wamtaja Luis Kuwa Kikwazo

GOLBE Elisha, mwili jumba nyota wa kikosi cha Plateau United ambaye ni nahodha wa kikosi hicho kilichoondolewa kwenye michuano ya...

READ MORE

Straika Mghana Aruhusiwa Kuvaa Jezi ya Yanga

UONGOZI wa Namungo umefunguka kuwa, utakuwa tayari kumuachia mshambuliaji wao hatari raia wa Ghana, Steven Sey katika kipindi cha dirisha...

READ MORE

Kaze: Yacouba Anahitaji Muda!

WAKATI mshambuliaji wa Yanga, Yacouba Songne akicheza dakika 311 bila kufunga, kocha mkuu wa kikosi hicho, Cedric Kaze amesema bado...

READ MORE

Sven Awatahadharisha Wachezaji Wake

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amewataka wachezaji wake kucheza kwa tahadhari katika kusaka matokeo ndani ya uwanja kwani wana...

READ MORE

Simba! Mlisema Plateau? Sasa Waleteni Wengine

LICHA ya kubwana mbavu nyumbani, lakini imekuwa faida kubwa kwa Simba na kusonga hatua ya kwanza ya michuano ya Ligi...

READ MORE

Wafanyakazi 4 Chuo Kikuu Wasimamishwa Kazi Kisa Suarez

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uruguay, Luis Suarez, amewaponza wafanyakazi wanne wa chuo kikuu cha Perugia nchini Italia, ambao wanashukiwa kuhusika...

READ MORE

Ronald Koeman Ataka Neymar Amfuate Messi

KOCHA wa Barcelona, Ronald Koeman, anaamini kuwa Barcelona itafanya kitu kuona msimu ujao Lionel Messi anacheza tena na Neymar ndani...

READ MORE

Arteta: Spurs Wapo Vizuri Zaidi Yetu

BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta, amekiri kuwa Tottenham inastahili kuwa juu kwenye msimamo wa Premier kutokana na kufanya vizuri, Leo...

READ MORE

Yanga Dhidi ya Ruvu,Inasakwa Rekodi

KATIKA Dimba la Mkapa kuanzia saa 1:00 usiku leo Jumapili, kuna mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na...

READ MORE

Simba Yatinga Raundi Pili, Kuwavaa Fc Platinum

LICHA ya kubanwa mbavu nyumbani, lakini imekuwa faida kubwa kwa Simba na kusonga hatua ya kwanza ya michuano ya Ligi...

READ MORE

Njooni Uwanjani Ila…

UNAAMBIWA Simba wamepanga kuanza mechi yao ya leo dhidi ya Plateau kwa kasi kubwa kiasi cha kuwafanya wachezaji wa timu...

READ MORE

Mashabiki Uingereza Waruhusiwa Kuingia Viwanjani

MASHABIKI wa mchezo wa soka nchini Uingereza wameruhusiwa kurejea viwanjani kushuhudia michezo mbalimbali huku wakisisitizwa kufuata utaratibu wa kuchukua tahadhari...

READ MORE

Bruno Amjia Juu Ole

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, alikuwa katika benchi akishuhudia timu yake ikipata kipigo cha mabao 3-1 dhidi ya...

READ MORE

Nyota Taifa Stars Atwaa Tuzo Ulaya

MCHEZAJI wa kimataifa wa Tanzania, Adi Yussuf anayekipiga katika Klabu ya Wrexham Association FC ya Wales kwa mkopo akitokea Boreham...

READ MORE

London Derby: Tottenham Hotspurs Uso kwa Uso na Arsenal Jumapili Hii

Ni muendelezo wa London Derby katika EPL kwa wiki mbili mfululizo. Baada ya derby ya kwanza kuchezwa Jumapili iliyopita ambapo...

READ MORE

Kiungo Yanga Apelekwa Sauz

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Balama Mapinduzi, muda wowote kutoka leo Alhamisi anatarajia kwenda Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa ajili ya kupata...

READ MORE

Simba Waikazia Yanga Dar

KATIKA kuelekea mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United ya Nigeria, uongozi wa Simba...

READ MORE

Plateau Hawachomoki kwa Simba Dar

REKODI ya Simba katika michuano ya kimataifa inapocheza katika uwanja wa nyumbani wa Benjamin Mkapa, imeonekana kuibeba zaidi timu hiyo...

READ MORE

Kaze Ataja Mbinu Pekee ya Ubingwa Yanga

BAADA ya kukaa kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ameibuka na kuwaambia...

READ MORE

Simba Wasajili Mkata Umeme, Kuziba Pengo la Fraga

KIUNGO mkabaji wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Uganda Taddeo Lwanga amesaini dili la miaka miwili kuitumia Klabu ya...

READ MORE

Lwandamina Atajwa Kutua Azam FC

KAMA mambo yakienda sawa basi aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga, Mzambia George Lwandamina atamwaga saini ya kubeba mikoba ya...

READ MORE

Dube Nje Wiki Sita, Mwenyewe Afunguka

HUKU ikiwa na mwendelezo wa matokeo mabaya kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara, Azam imepata pigo jingine baada ya taarifa...

READ MORE

UEFA Kuendelea Leo Usiku Manchester United Kuwakaribisha PSG, Old Trafford

Moja kati ya makundi magumu kwenye Ligi ya Mabingwa msimu huu ni kundi H. Hapa kuna Man United, PSG, RB...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risais kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Arteta: Sina Hofu ya Kufukuzwa Arsenal

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema hana hofu ya kufukuzwa licha ya kuwa timu yake imeendelea kuwa na matokeo mabaya,...

READ MORE

Pialali, Mtango Waishukuru Global Publishers

   MABONDIA wa ngumi za kulipwa waliokuwa na mapambano ya kimataifa Novemba 28, mwaka huu, Idd Pialali na Salim Mtango,...

READ MORE

Kaseke Amtaja Anayetaka Kucheza Naye Yanga SC

KIUNGO wa Yanga, Deus Kaseke, amesema kuwa kama kocha wa timu hiyo, Cedric Kaze ataendelea kumpanga sambamba na mshambuliaji Yacouba...

READ MORE

Aliyekuwa Daktari wa Maradona Achunguzwa

WAENDESHA mashitaka nchini Argentina wanamchunguza daktari wa  Diego Maradona, Leopoldo Luque, wakimshuku kwa kuua kufuatia kifo cha nyota huyo wa...

READ MORE

Bouba Diop wa Senegal Afariki, Aliwatungua Ufaransa 2002

KIUNGO mkabaji wa zamani wa timu ya taifa ya Senegal, Papa Bouba Diop, 42, amefariki dunia jana Novemba 29, 2020,...

READ MORE

Messi Akubali Kukatwa Mshahara Barca

MASTAA wa Barcelona wakiongozwa na Lionel Messi wamekubaliana na klabu hiyo kukubali kupunguziwa mishahara yao ambayo inathamani kiasi cha pauni...

READ MORE

Modric Ataka Kumaliza Soka Lake Madrid

KIUNGO wa Real Madrid, Luka Modric, ameendelea kusema anataka kuona anamalizia kipindi chake cha kucheza kwenye kikosi hicho akiwa amebakiwa...

READ MORE

Mnyama Anguruma Nigeria, Ampiga Plateua Utd 1-0

Mabingwa wa Tanzania  timu ya Simba leo Novemba 29, imefanikiwa kushinda mchezo wake wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya...

READ MORE

Huu Ndiyo Mlima wa Simba CAF

  MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2020/21 ambayo inaandaliwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), inatarajiwa...

READ MORE