×

Michezo

Mapozi ya Tafakuri za Kocha wa Simba Jana Kabla na Baada ya Mechi

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck  jana alinaswa na paparazi wetu akiwa katika mapozi tofauti kabla na baada ya mechi dhidi...

READ MORE

Angalia Yanga na Simba Walivyomenyana Kiume Benjamini Mkapa

WATANI wa Jadi Yanga na Simba jana walimenyana vikali kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa jana Uwanja wa...

READ MORE

Klopp na Guardiola Wahofiana

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amesisitiza kuwa leo atakuwa na kazi ngumu kwani kucheza na Manchester City huwa kuna ugumu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Yanga Simba Hakuna Mbabe, Watoka Sare

Mechi ya Kariakoo Derby ambayo ni ya Ligi Kuu Bara,  kati ya Watani wa Jadi Yanga Sc dhidi ya Simba...

READ MORE

Simba, Yanga Wazichapa Live – Video

MAKOMANDOO wa Simba na Yanga leo Jumamosi wameonyeshana ubabe pale walipoamua kuzipiga kavukavu baada ya mabishano ya kila mmoja kumtaka...

READ MORE

Yanga: Simba SC hawatufungi labda waibe matokeo

  UONGOZI wa Yanga umeweka bayana kuwa watani zao wa jadi Simba leo kuwafunga itakuwa ngumu labda waibe matokeo. Yanga...

READ MORE

Huyo Mwamuzi wa Leo Ana Bahati na Yanga

ABDALLAH Mwinyimkuu wa Singida ndiye mwamuzi anayetarajiwa kuchezesha mchezo wa leo Jumamosi kati ya Yanga na Simba lakini rekodi zinaonyesha...

READ MORE

Simba vs Yanga: Wanakufa Mapema tu!

Marco Mzumbe, Dar es Salaam MAKOCHA wa Yanga na Simba wanaamini vikosi vyao kwa asilimia zote vimekamilika na viko fiti...

READ MORE

Matajiri Wavamia Kambi ya Yanga SC

BILIONEA na Rais wa Makampuni ya GSM, Ghalib Said Mohammed jana jioni aliongoza msafara wa matajiri wa timu hiyo kuvamia...

READ MORE

Mo Ajibu Mapigo, Aweka mil 120

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, bilionea, Mohammed Dewji ‘Mo’ naye jana usiku alivamia kambi ya timu hiyo na...

READ MORE

Yondani, Shiboub na Mastaa Wanaoimisi Kariakoo Dabi

LEO JUMAMOSI ya Novemba 7, itakuwa patashika nguo kuchanika kufuatia miamba miwili ya soka hapa nchini Simba na Yanga kukutana...

READ MORE

Leo Kwa Mkapa… Utawaka, Cheki Rekodi Zao Moto

NOVE MBA 7 ilikuwa ikisubiriwa kwa shauku kubwa na wadau wa soka nchini ili kushuhudia pira biriani kwa timu mbili...

READ MORE

Taifa Stars Kuivaa Tunisia Bila Mashabiki

MCHEZO wa Novemba 14 Uwanja wa Mkapa kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania na Tunisia huenda ukachezwa bila ya...

READ MORE

 Kapombe: Tuisila Tafuta pa Kupitia

  BEKI mkongwe wa Simba, Shomari Kapombe, kamwe hatakubali kufanywa njia ya kupitia washambuliaji wa timu pinzani wa Yanga huku...

READ MORE

Chirwa Arudi Kivingine Azam

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, amerejea baada ya kupata majeraha kwenye misuli ya mguu wakati wa mchezo wa Ligi...

READ MORE

Dabi ya Kariakoo! Mugalu Amjaza Upepo Sven Simba

  KUREJEA uwanjani kwa mshambuliaji Mkongomani, Chris Mugalu, kumempa kiburi Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck na kutamba kuwa...

READ MORE

Sven Afichua Jambo la Luis

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa ilikuwa lazima kumuweka benchi winga wa timu hiyo, Luis Miquissone katika mchezo dhidi...

READ MORE

Zahera Apata Kigugumizi Mshindi wa Yanga, Simba

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Gwambina, Mkongomani Mwinyi Zahera ameshikwa na kigugumizi...

READ MORE

Kwa Kosi Hili…. Mmekwishaaa!

KAMA utakwenda kwa Mkapa leo ukiwa na matokeo yako mfukoni, basi jiandae kurudi nyumbani unalia, kwani lolote linaweza kutokea.  ...

READ MORE

Mambosasa Awaonya Wang’oa Viti kwa Mkapa

KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi, Yanga dhidi ya Simba, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

READ MORE

Super Sunday: Manchester City Kuwakaribisha Liverpool EPL

Ni wikiendi ya aina yake kwenye EPL wiki hii. Mzunguko wa 8 utawakutanisha miamba ya soka la Uingereza katika mchezo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Adam Adam Tishio Jipya Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI wa timu ya JKT Tanzania, Adam Adam, amewafunika mastraika wazawa na wageni baada ya kufunga mabao sita kwenye Ligi...

READ MORE

Chama, Kagere Kuikosa Yanga, Bocco Atoa Kauli Ngumu – Video

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroek na Nahodha wake, John Bocco, wamezungumza na wanahabari leo Novemba 06, kuelekea mchezo wao...

READ MORE

Sure Boy Anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Azam FC Oktoba

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Azam FC...

READ MORE

Kauli ya Solksjaer Kuhusu Hatma Yake Man U

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer, amesema makosa yaliyofanywa na mabeki wake yaliyosababisha wafungwe bao 2-1 na Instanbul Basaksehir...

READ MORE

Kombinesheni 5 Hatari Yanga SC

YANGA kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba itakayochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, tayari ina kombinesheni tano...

READ MORE

Mbelgiji Simba Awachambua Mastaa Wake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amewachambua washambuliaji wake wote, huku akidai kuwa bado hana chaguo la kwanza na...

READ MORE

Kaze Atoa DK 20 za Kuiua Simba Jumamosi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amewaambia vijana wake kuwa, katika mchezo wa keshokutwa Jumamosi dhidi ya Simba, anataka...

READ MORE

Mugalu Arejesha Matumaini Simba SC

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, amerejesha matumaini kwenye kikosi cha timu hiyo katika kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya...

READ MORE

Man U Kumfukuza Ole, Pochettino Atajwa

KIBARUA  cha Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, huenda kikaota nyasi kutokana na mfululizo wa matokeo yasioridhisha.  Hatua hiyO...

READ MORE

Yanga vs Simba Kuweka Historia Jumamosi Uwanja wa Mkapa

JUMAMOSI ijayo ni siku ya mechi kali yenye historia kwenye soka la Bongo ambapo mabingwa watetezi Simba watavaana na mabingwa...

READ MORE

Dube, Chirwa Kulamba Tuzo Azam

MASTAA wa Azam FC, Mzimbabwe, Prince Dube na Obrey Chirwa wanatarajiwa kulamba tuzo ndani ya kikosi hicho baada ya uongozi...

READ MORE

Mkude Afungukia Vichapo Viwili Simba SC

Mkude afungukia vichapo viwili Simba SC JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Sven...

READ MORE

Carlinhos Kuikosa Simba, Niyonzima Arejea

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos anatarajia kuukosa mchezo wa dabi ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumamosi ijayo huku kiungo...

READ MORE

Simba Yaichapa Kagera Sugar

BINGWA mtetezi wa ligi kuu ya Vodacom Simba, wamefanikiwa kuvuna pointi tatu muhimu mbele ya wakata miwa, Kagera Sugar kwa...

READ MORE

Busungu Autafuta Utajiri kwa Kilimo cha Vitunguu, Ufugaji

UKIZUNGUMZIA nyota wa zamani katika kipindi cha hivi karibuni, huwezi kumsahau aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu ambaye aliwika sana...

READ MORE

Zahera Amvamia Kaze Kambini Mwanza

ALIYEWAHI kuwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, jana asubuhi alivamia kambi ya timu yake hiyo ya zamani kwa ajili ya...

READ MORE