×

Michezo

Lamine Moro Bado Majanga

BEKI wa Yanga, Lamine Moro, huenda akaukosa mwanzo wa msimu kutokana na jeraha la goti alilolipata hivi karibuni kwenye mazoezi...

READ MORE

KMC Kuanza na Majembe Mapya 11

TIMU ya KMC yenye maskani yake Kinondoni itaanza msimu wa 2020/21 ikiwa na maingizo mapya 11 ndani ya kikosi cha...

READ MORE

Yanga Hii ya Kibabe Sana

YANGA ya msimu ujao itakuwa ni ya kibabe sana. Hivyo ndivyo wanavyotamba mashabiki wa timu hiyo, baada ya kuishuhudia katika...

READ MORE

Bosi Simba Awazungumzia Kisinda, Morrison

BAADA ya dirisha la usajili la Ligi Kuu Bara kufungwa rasmi Agosti 31 mwaka huu, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu...

READ MORE

Germany vs Spain Kuzindua Msimu wa UEFA Kesho

Ligi ya Mataifa ya Ulaya – UEFA Nations Ligue inarejea tena mwezi huu. Mchezo wa kwanza kuwakutanisha miamba ya soka...

READ MORE

Nyosso Jeshini, Ngassa Daraja la Kwanza Ndanda FC

ALIYEKUWA beki wa zamani wa klabu za Simba, Coastal Union, Mbeya City na Kagera Sugar, Juma Said ‘Nyosso’ amesalia kwenye...

READ MORE

Takwimu Za Jembe Jipya La Yanga Ni Balaa

YACOUBE Sogne, nyota mpya wa Yanga ambaye alitua nchini Tanzania Agosti 31 akitokea Burkina Faso na kupokelewa na viongozi wa...

READ MORE

Cioaba Wa Azam FC Ataka Mechi Moja

ARISTICA Cioaba ambaye ni Kocha Mkuu wa Azam FC, amewaambia mabosi wake kuwa anahitaji mechi moja ya mwisho kwa ajili...

READ MORE

Yanga Yaanza Harakati Za Uwanja

KLABU ya Yanga imewaahidi mashabiki wake kuwa ipo kwenye mipango ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa timu hiyo...

READ MORE

Simba Sasa Yatoa Tahadhari Ligi Kuu Bara

KOCHA msaidizi wa klabu ya soka ya Simba, Seleman Matola amewatahadharisha wapinzani wao msimu huu kwa kuwaambia wajipange sawasawa kwa...

READ MORE

Mo Dewji Amsaka Shabiki Aliyechaniwa Jezi Uwanjani

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji,  anamsaka shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi yake na watu...

READ MORE

Video: Yanga Yashukuru Mashabiki Kujitokeza Uwanja wa Mkapa

KLABU ya Yanga ASC leo Septemba 1, 2020 imewashukuru mashabiki wake kwa kujitokeza kwenye Tamasha la Wiki ya Mwananchi siku...

READ MORE

Kikosi Cha Yanga Kwa Msimu Wa 2020/21 Hiki Hapa

USIKU wa kuamkia leo Agosti 31 dirisha la usajili lilifungwa rasmi baada ya kufunguliwa Agosti Mosi na Shirikisho la Soka...

READ MORE

Vigogo Wanaoweza Kumsajili Messi Ni Hawa…

HABARI kuwa Lionel Messi anataka kuondoka ndani ya Barcelona imesababisha klabu tatu za Ulaya kuanza kujisogeza kutaka kumsajili.   Raia...

READ MORE

Yacouba Atua Yanga, Apokelewa Kifalme!

MCHEZAJI hatari wa Yanga, raia wa Burkina Faso, amewasili Bongo leo tayari kwa ajili ya kukitumikia kikosi cha ‘Wananchi’. Sogne...

READ MORE

Carlinhos! Alikataa Ofa ya Ulaya Akatua Yanga

IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga na raia wa Angola, Carlos St’enio Fernandez ‘Carlinhos’,  amekataa ofa ya kwenda kucheza...

READ MORE

Kikwete: Kuibiana Kawaida, Yanga Achaneni na Morrison

  RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni shabiki kindakindaki wa Klabu ya...

READ MORE

Yanga Yawasha Mitambo kwa Mkapa

SAFARI ya kuuanza msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara imeanza jana Agosti 30, 2020 katika dimba la Benjamin Mkapa...

READ MORE

Mgombea Urais: Kuondoka kwa Messi Sio Mwisho wa Dunia

MGOMBEA urais katika Klabu ya Barcelona, Toni Freixa amemjia juu staa wa timu yake, Lionel Messi kwa kusema amekosa heshima...

READ MORE

Mbelgiji Ashindwa Kuamua Vita ya Bwalya, Chama

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa kutokana na ubora wa viungo wake, hivi sasa ana uhakika wa...

READ MORE

Simba Yaipiga 2-0 NaMungo, Yabeba Ngao ya Jamii

KLABU ya simba, leo Agosti 30 imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Namungo FC na kufanikiwa kutwaa taji...

READ MORE

YANGA Wamtambulisha MORRISON kwenye KIKOSI Chao -Video

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa bado mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison ni mali yao na wamemtambulisha kuwa mchezaji wao...

READ MORE

Simba vs Namungo…Moto Utawaka Leo Sheikh Amri Abeid, Arusha

JOTO la mtanange wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Namungo, limepanda ambapo leo Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh...

READ MORE

Mashabiki Wajishindia Tiketi Kutoka Spoti Xtra Uwanja wa Mkapa

Mapema leo Agosti 30, 2020 Mkuu wa kitengo cha Masoko Global Publishers, Adam Antony ameongoza zoezi la kuwakabihi tiketi za...

READ MORE

Carlinhos, Sarpong Wazoa Bil 2.5 Yanga

ACHA kabisa yale mapokezi ya kishindo waliyofanyiwa mashine mpya za Yanga pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

READ MORE

Yanga SC: Njooni Muone Mavituz Yacarlinhos

WAKATI leo Jumapili Yanga wakiwa na kilele cha Wiki ya Mwananchi, ofi sa habari wa timu hiyo, Hassani Bumbuli amewaomba...

READ MORE

Kisa Messi, Man City Yawatoa Kafara Nyota

MAN City imeripotiwa kuwa ipo tayari kuipa Bar-celona pauni mil-ioni 89.5 pamoja na wachezaji watatu; Bernardo Silva, Gabriel Jesus na...

READ MORE

Carlinhos Kumbe Amekataa Ofa Ureno

IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga raia wa Angola, Carlos St’enio Fernandez ‘Carlinhos’ amekataa ofa ya kwenda kucheza soka...

READ MORE

Chama Afichua Siri Ubora wa Bwalya

KIUNGO wa Simba na mchezaji bora wa msimu uliopita, Clatous Chama amesema kuwa siri ya ubora unaoonekana kwa kiungo mpya...

READ MORE

Pogba Ashtua Kukutwa na Corona

KIUNGO Paul Pogba amewashtua wadau wengi wa soka baada ya kubainika kuwa na Virusi vya Corona huku Ligi Kuu ya...

READ MORE

Yanga: Tulimtaka Chama Siyo Bwalya

MJUMBE wa Kamati ya Usajili wa Yanga na Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, amesema hawakuwa na mpango kabisa...

READ MORE

Sarpong, Carlinho Watupia Mazoezini Yanga

AMA kweli Yanga inautaka ubingwa msimu ujao, hiyo ni baada ya kuukosa kwa misimu mitatu mfululizo jambo ambalo limefanya safari...

READ MORE

Jeshi la Yanga Limekamilika, Kesho Kukiwasha Uwanja wa Mkapa

JESHI limekamilika, hivi ndivyo unaweza kusema baada ya uongozi wa Yanga, jana kumtangaza Mserbia Zlatko Krmpotić kuwa ndiye kocha mkuu...

READ MORE

Simba: Tutawakera Wapinzani Wetu Mpaka…

UONGOZI wa Simba umesema kuwa utawakera wapinzani wao wote ndani ya msimu wa 2020/21 kwa kuwa ina kikosi imara na...

READ MORE

Yanga Yataja Upya Siku Atakayotua Yacouba

MJUMBE wa Kamati ya Usajili Yanga na Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atua Kimyakimya

  KOCHA mpya wa klabu ya Yanga, Zlatko Krmpotic, amewasili nchini leo Jumamosi, Agosti 29, 2020, asubuhi tayari kwa kuanza...

READ MORE

Ni Liverpool Dhidi ya Arsenal Leo, Nani Atabeba Kombe la Kwanza Msimu Huu?

Baada ya msimu wa 2019/20 kumalizika na kila timu kujitutumua kadiri walivyoweza. Sasa tunasahau yaliyopita na tunaanza Msimu Mpya wa...

READ MORE

Yacouba Awasotesha Yanga Air Port

MAMIA ya mashabiki wa Yanga, jana walijikuta wakishinda mchana kutwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar...

READ MORE

Fifa Yamaliza Utata Usajili wa Morrison, Yanga SC

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) ni kama limemaliza utata wa usajili wa mchezaji Bernard Morrison aliyetua Simba huku akiwa...

READ MORE

Dullah Mbabe, Kiduku Kumaliza Utata Leo

MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ na Twaha Kiduku wanatarajia kupambana leo Ijumaa katika pambano lao...

READ MORE