×

Michezo

Tshishimbi Aikomoa Simba

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mkongomani Papy Tshishimbi amesema kuwa dawa ya kuwapoka ubingwa wa Ligi Kuu Bara watani wao wa...

READ MORE

Wachezaji wa Barcelona Kukatwa Mishahara Kisa Corona

WACHEZAJI wa Klabu ya Barcelona wanadaiwa kuwa katika mvutano na Bodi ya timu hiyo kufuatia pendekezo la Bodi kutaka kuwakata...

READ MORE

Man United Yajiaminisha Kumsajili Sancho

KLABU ya Manchester United inaamini ipo katika nafasi nzuri ya kufanikisha dili la kumsajili winga Jadon Sancho kwa ada ya...

READ MORE

Dybala wa Juventus Nimepona Corona

PAULO Dybala amewaambia mashabiki wa timu yake ya Juventus kuwa kwa sasa afya yake na ya mpenzi wake, Oriana Sabatini...

READ MORE

Wajumbe Watatu Yanga Wajiuzulu, Wawili Wasimamishwa

WAJUMBE watatu wa Kamati ya Utendaji Yanga wametangaza kujiuzulu nafasi zote walizokuwa nazo  huku wengine wawili wakisimamishwa kwa utovu wa...

READ MORE

Said Ndemla Ruksa Kutua Yanga SC

IMEVUJA! Ndivyo utakavyoweza kusema ni baada ya Simba kupanga kuachana na kiungo wao, Said Ndemla mwishoni mwa msimu huu.  ...

READ MORE

Kigogo Ajiondoa Yanga; ‘Nimeamua Kujiuzulu’

ALIYEKUWA Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Shija Richard,  amejiuzulu nafasi hiyo leo Ijumaa huku akishindwa kuweka wazi sababu...

READ MORE

Ruvu: Kuwapapasa Bila Mashabiki Haitapendeza

MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa kutokana na tamko la Bodi ya Ligi Kuu Bara kuwa endapo...

READ MORE

Yanga Kushusha Vifaa Vinne

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umepanga kutumia kipindi hiki cha kusimamishwa kwa Ligi Kuu Bara kama mwanya wa kufanya usajili...

READ MORE

Maxime: Nina Mkataba wa Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amefunguka kuwa alipewa mkataba wa kujiunga na Yanga, lakini kutokana na kutofi kia...

READ MORE

Kauli Ya Tshishimbi Yanga Hii Hapa, Aitaja Simba – Video

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mkongomani Papy Tshishimbi, ametoa kauli ya matumaini Jangwani kwa kutamka kuwa bado mchezaji halali wa timu...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Zaungana Kutokomeza Corona

  GLOBAL Publishers kupitia magazeti yake bora ya michezo Tanzania ya Championi na Spoti Xtra, imeanzisha kampeni ya kuzuia kusambaa...

READ MORE

Huyu Hapa Aliyemleta Morrison Bongo

KIUNGO Mshambulizi nyota wa Yanga, Bernard Morrison, amekuwa gumzo katika soka nchini baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea kwao...

READ MORE

Tshishimbi Aikubali Simba

NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi raia wa DR Congo, amebainisha kuwa kwa mechi zilizobaki na pointi ambazo wamezidiwa na wapinzani...

READ MORE

Sven Awatega Mastaa Simba

WACHEZAJI wa Simba wamejikuta wakiingia ndani ya mtego wa kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, katika kipindi hiki...

READ MORE

Simba: Chama, Kanda Hawaendi Popote

KATIKA kukiboresha kikosi chao, uongozi wa Simba umeahidi kutomuachia mchezaji yeyote watakayemuhitaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu...

READ MORE

Tshishimbi Amaliza Mkataba Yanga, Anasepa Simba? – Video

CAMERA za Global TV zimemnasa msakata kabumbu wa Klabu ya Yanga, Papy Tshishimbi, na kuzungumza nae kuhusiana na ishu mbalimbali...

READ MORE

Morrison Afunguka Alichozungumza na Simba

MSHAMBULIAJI nyota wa Yanga, Bernard Morrison amekiri mwenyewe kwa mara ya kwanza kwamba kulikuwa na mazungumzo kwa ajili ya kujiunga...

READ MORE

Watatu Waandaliwa Mikataba Mipya Simba

SIMBA ipo kwenye mipango ya mwisho kukamilisha usajili wa viungo wake wawili, Sharraf Eldin Shiboub, Mzamiru Yassin na beki wa...

READ MORE

TANZIA: Mwanahabari Asha Muhaji Afariki Dunia Dar Leo

Mwanahabari mwandamizi wa michezo nchini ambaye amewahi pia kuwa afisa habari wa Klabu ya Simba, Asha Muhaji, amefariki dunia leo...

READ MORE

Makapu: Nitaondoka Yanga

BEKI wa kati wa Yanga, Said Makapu, amefunguka kuwa amepanga kuondoka kwenye timu hiyo iwapo atapata nafasi ya kwenda kucheza...

READ MORE

Niyonzima Afunguka Maisha Yake Ndani ya Yanga

KIUNGO mchezeshaji fundi wa Yanga, Mnyarwanda Haruna Niyonzima leo Machi 25, 2020,  amefika katika ofisi ya Global Group zilizopo Sinza-Mori...

READ MORE

Baba Lao! Droo ya Kwanza Shinda Gari, Washindi Waanza Kubebelea Zawadi

  DROO ya Kwanza ya Shindano la Jishindie Gari inayoendeshwa na Kampuni ya Global Group kupitia magazeti yake ya michezo...

READ MORE

Morrison Ajifungia / Beki Mtanzania Ashindwa Kumzika Kaka Yake – Video

  KATIKA kipindi cha ‘SOKA CHAP CHAP’ mchambuzi wa soka, Saleh Jembe, amechambua kuhusiana na ugonjwa wa virusi vya Corona...

READ MORE

Matola: Makocha Ligi Kuu Wanaishi Kwa Presha

KOCHA Msaidizi wa Simba FC, Selemani Matola amefichua kuwa makocha wengi wanaozinoa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, wanaishi kwa...

READ MORE

Kagere Apigwa Stop Kurejea Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere atachelewa kurejea nchini kufuatia Shirika la Ndege la RwandAir kufuta safari zake zote kwa...

READ MORE

Rasmi Wachezaji Yanga Wapigwa ‘Stop’

HUKU wachezaji wa Yanga wakiwa majumbani kwao imebainika kuwa daktari wa timu hiyo, Sheikh Mngazija, amewapangia wachezaji hao vyakula maalumu...

READ MORE

Meneja Afunguka Lusajo kutua Yanga

MENEJA wa mshambuliaji Reliant Lusajo wa klabu ya soka ya Namungo, Ahmad Kassim ‘Prezdaa’, amesema kuwa wapo tayari kufanya kazi...

READ MORE

Kisa Simba, Mabosi Yanga Wamuwekea Ulinzi Mkali Fei Toto

WAKATI uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na wadhamini wao, Kampuni ya GSM, wakiendelea kuboresha mikataba inayoelekea ukingoni kwa nyota waliopendekezwa...

READ MORE

Morrison: Nafunga Kwanza Kisha Shoo

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mghana Bernard Morrison, amefunguka kuwa mpango ambao anakuja nao kwa sasa ni kuhakikisha timu hiyo inafunga...

READ MORE

Yanga Ilivyoizidi Ujanja Simba kwa Morrison

MASHABIKI wa Yanga hivi sasa watakuwa wanapumua, ni baada ya wadhamini wao GSM kufanikisha jaribio la kiungo mshambuliaji Mghana Bernard...

READ MORE

 Sven Afunika Makocha Wote Ligi Kuu

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amekiongoza kikosi hicho kwenye jumla ya mechi 18 tu, lakini amewafunika makocha wote walioviongoza...

READ MORE

Chama Agomea Mkataba Simba, Arudi Zambia

KIMENUKA! Ndivyo utakavyoweza kusema, ni baada ya kiungo mchezeshaji fundi wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, kugoma kuongeza mkataba mpya wa...

READ MORE

Kagere Aifanyia Yanga Kitu Mbaya

LICHA ya Ligi Kuu Bara kusimama kwa muda kutokana na ugonjwa wa Corona, mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amefanikiwa...

READ MORE

Kisa Corona, Wawa Ajifungia Ndani Akicheza Gemu

BEKI Kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa kwa sasa yupo salama na anaendelea kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji...

READ MORE

Olimpiki Yajadili Kuahirisha Michuano ya Japan

  KAMATI ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) imesema inaangalia uwezekano wa kuahirisha Michuano ya Olimpiki mwaka 2020 kutokana na mlipuko...

READ MORE

Simba Yamkomalia Mzambia wa Orlando Pirates

KAMA ulikuwa unachukulia ni utani Simba kumuhitaji Bernard Morrison wa Yanga, basi sikia hii, unaambiwa uongozi wa Simba ulikuwa na...

READ MORE

Simba, TP Mazembe Zamgombea Deo Kanda

VITA ni kali kati ya Klabu za Simba na TP MAzembe ya DR Congo ambapo kila moja inataka kumchukua mshambuliaji...

READ MORE

Hasara ya Trilioni 2 Yanukia Premier League

MARA baada ya tarehe ya kurejea kwa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ kusogezwa mbele kutoka Aprili 4 hadi Aprili...

READ MORE

Manchester United Yamtengea Aubameyang Bilioni 132

KLABU ya Manchester United inajiandaa kutoa pauni milioni 50 (Sh bil 132) kwa ajili ya kufanikisha mpango wa kumsajili straika...

READ MORE