×

Michezo

Molinga, Sibomana, Yikpe nje Yanga

INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mipango ya kuachana na washambuliaji watatu wa klabu hiyo ambao ni David Molinga...

READ MORE

Mbelgiji Yanga ayaficha majembe mapya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, amewaagiza mabosi wa timu hiyo kuwa wanatakiwa kumalizana na wachezaji wote...

READ MORE

Corona: Himid Afikisha Siku ya 26 Karantini

HIMID Mao, nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, anayekipiga ndani ya Klabu ya ENPPI ya nchini Misri, jana...

READ MORE

Makapu: Eymael Amenifanya Niwe Katili Uwanjani

BEKI wa Yanga, Said Juma Makapu, amesema kuwa kocha Luc Eymael amekuwa akimpatia mbinu zinazomfanya awe katili uwanjani na kucheza...

READ MORE

Kane Kutua Madrid, Sanchez West Ham, Lingard Kuondoka Man U?

KLABU ya Barcelona wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, kutoka klabu ya Inter Milan lakini wanakabiliana na ushindani...

READ MORE

GSM Yawamwagia Mamilioni Kwa Morrison

MDHAMINI wa Yanga ambaye ni Kampuni ya GSM imeendelea kuonyesha kufuru zake na safari hii imewafanyia sapraizi wachezaji wake wote...

READ MORE

Licha ya Corona… Bayern Munich Yaanza Mazoezi

MIAMBA  ya soka nchini Ujerumani, Bayern Munich, leo Jumatano, Aprili 6, 2020, kimerejea uwanjani na kuanza kufanya mazoezi kwa mara...

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko Kurejea kwa Makambo

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa kuwa na subira kwa wakati huu kuhusu kumrudisha nyota wao wa zamani Heritier...

READ MORE

Licha Ya Wachezaji Kuishi Kifalme, Kagera Sugar Inapata Tabu VPL

LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimama, Tanzania tumeungana na zaidi ya mataifa 170 kujikinga na maambukizi ya Virusi vya...

READ MORE

Mastaa Watatu Watimka Simba

UPO uwezekano mkubwa wa mastaa wakubwa Simba kutimka kwenye klabu hiyo kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara baada ya...

READ MORE

Mabosi Yanga Kuwajadili Makambo, Ndemla

KAMATI ya Utendaji ya Yanga leo Jumatatu inatarajiwa kukutana kwa ajili ya kupitia ripoti ya usajili ambayo Kocha Mkuu wa...

READ MORE

Dogo Fundi wa Kuogelea Aliyepania Kuisimamisha Bongo

LICHA ya kwamba mchezo wa kuogelea ni mojawapo ya michezo inayosadikika kuanza mwaka 1800 huko barani Ulaya, bado ni mchezo...

READ MORE

Dk 847 Zatosha Kumvuta Mkongo Yanga

DAKIKA 847 za michezo ya kimataifa alizocheza winga Mkongo wa AS Vita, Tuisila Kisinda, zimeonekana kuwashawishi vilivyo Yanga ambayo imeonyesha...

READ MORE

Makambo Mali Ya Yanga, Gsm Yamaliza Mchezo DR Congo

YANGA wanatamani kuona mshambuliaji wao kipenzi, Heritier Makambo, anarejea katika klabu hiyo lakini bado kidogo tu staa huyo atakabidhiwa jezi...

READ MORE

GSM Jeuri, Kumjibu Mo Simba SC

WADHA-MINI wa Yanga ambao ni Kampuni ya GSM, wamerejea kwa kishindo na sasa wameweka wazi mipango yao ya kujenga uwanja...

READ MORE

Wadau wa Championi Waendeleza Mzuka wa Kusepa na Ndinga – Video

VIJANA wa siku hizi wanasema, mambo ni yente kila kona ya nchi kufuatia kushika kasi kwa promosheni namba moja kwa...

READ MORE

Morrison Amvurugia Mo Dewji Kwa Shonga GSM

HESABU za mabosi wa Simba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya timu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’ ni kumshusha straika raia...

READ MORE

Mwamnyeto Afungukia Usajili Wake Simba SC

BEKI na nahodha wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto amefungukia usajili wake wa kutua Simba ambapo kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa...

READ MORE

Shiboub Kutimka Simba SC

KIUNGO mchezeshaji fundi raia wa Sudan, Sharraf Eldin Shiboub huenda akaachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu huu wakati mkataba...

READ MORE

Sheva Arejea Rasmi Msimbazi

HABARI njema kwa mashabiki wa Simba ni kuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Miraji Athumani ‘Sheva’ ameweka wazi kuwa amepona na...

READ MORE

GSM Yampandia Ndege Winga Mkongo

INAELEZWA kuwa bosi mmoja wa GSM anatarajiwa kupanda ndege hadi nchini DR Congo kwenda kumalizana na winga wa AS Vita,...

READ MORE

Zahera Abariki Makambo Kurejea Yanga

KOCHA wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema kuwa kama kweli klabu hiyo inataka kumrejesha mshambuliaji wao wa zamani, Heritier...

READ MORE

Yanga Yateua Vigogo Wanne Wapya

KAMATI  ya Utendaji ya Klabu ya Yanga leo Aprili 3, 2020 chini ya Mwenyekiti Dkt. Mshindo Msolla imewateua  Suma Mwaitenda...

READ MORE

Ligi Kuu Bara 2019/20 Hatarini Kufutwa

KAMA janga la Virusi vya Corona halitakuwa na ahueni, basi upo uwezekano mkubwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ukafutwa....

READ MORE

Horoya Waitumia Yanga Mkataba Wa Makambo

MABOSI wa Yanga, jana Alhamisi walikuwa wana bashasha kwenye sura zao kutokana na kuwa wanasubiri majibu ya dili la straika...

READ MORE

Mbelgiji Akabidhi Faili La Usajili

WAKATI ligi ikiwa imesimama kutokana na Virusi vya Corona, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amekabidhi faili la usajili wa...

READ MORE

Morrison Awatibulia Simba, Wachezaji Wapiga ‘stop’ Kuongea

UNAWEZA ukasema mzimu wa kiungo wa Yanga, Bernard Morrison, bado unaitafuta Simba, hiyo ni mara baada ya uongozi wa klabu...

READ MORE

Wawa: Corona Siyo Ya Kuchukulia Utani

BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa, amesema kuwa Virusi vya Corona siyo vya kuchukulia utani, ni lazima kila mmoja achukue...

READ MORE

Azam Yaruhusu Sure Boy Kutua Yanga

UONGOZI wa Klabu ya Azam umesema uko tayari kumuuza kiungo wao, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kwa Yanga au klabu yoyote...

READ MORE

Aishi Manula Alikubali Bao Alilofungwa Na Morrison Taifa – Video

AISHI Manula mlinda mlango namba moja wa Simba amesema kuwa Bernard Morrison wa Yanga anastahili pongezi kwa kumtungua bao kwenye...

READ MORE

Mke Ayabeba Mabao ya Morrison

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison, amefunguka kuwa mabao yake yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na dua maalum ambazo zinafanywa na...

READ MORE

Mo Amwaga Mil 85, Gari kwa Mwamnyeto

HATIMAYE imefichuka rasmi kuwa uongozi wa Simba chini ya tajiri Mohammed Dewji ‘Mo’ umemuwekea mezani ofa ya shilingi milioni 85...

READ MORE

Simba Watua Kwa Tchetche

KLABU ya Simba imeanza harakati za kukisuka upya kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa 2020/21.  ...

READ MORE

Yanga Yatenga Bilioni 1 Kushusha Majembe

UKISIKIA jeuri ya fedha ndio hii sasa kwa Yanga kwani unaambiwa uongozi wa timu hiyo ukishirikiana na wadhamini wao, Kampuni...

READ MORE

Wasauz Wakubali Kuwapa Simba Straika

UONGOZI wa timu ya Orlando Pirates umeweka wazi kuwa upo tayari kumuachia straika wao, Mzambia, Justin Shonga katika usajili ujao...

READ MORE

Kwa Tshishimbi, Hapa Wamelamba Dume

KIUNGO Papy Kabamba Tshishimbi ni jembe kweli na ukiwa naye kikosini kwako, basi umelamba dume. Kwa takribani wiki nzima, kulikuwa...

READ MORE

Kagere, Chama Wazua Balaa Simba SC

BALAA kubwa huenda likawakumba baadhi ya wachezaji wa kimataifa wa Simba kutokana na kudaiwa kukiuka taratibu za klabu hiyo. Wachezaji...

READ MORE

Humoud: Yanga? Mbona Freshi Tu

KIUNGO wa kati wa Mtibwa Sugar, Abdulhalim Humoud, ameweka bayana kuwa anajisikia furaha kusikia kuwa anahusishwa na kujiunga na Yanga...

READ MORE

Tshishimbi Aikomoa Simba

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mkongomani Papy Tshishimbi amesema kuwa dawa ya kuwapoka ubingwa wa Ligi Kuu Bara watani wao wa...

READ MORE

Wachezaji wa Barcelona Kukatwa Mishahara Kisa Corona

WACHEZAJI wa Klabu ya Barcelona wanadaiwa kuwa katika mvutano na Bodi ya timu hiyo kufuatia pendekezo la Bodi kutaka kuwakata...

READ MORE