×

Michezo

Man U Vs Barcelona ni vita ya matajiri

WANAONGOZA La Liga kwa tofauti ya pointi 11, wapo kwenye fainali ya Spanish Cup, vijana wa kocha Ernesto Valverde wanatarajiwa...

READ MORE

Wasomaji Kigamboni: Betika Limekuja Wakati Muafaka – Video

TIMU ya maofisa Masoko wa Kampuni ya Global Publishers ambayo ndiyo inachapisha gazeti la Betika, imetia maguu maeneo ya Kigamboni...

READ MORE

Zahera ahofia ubingwa kwenda Simba

YANGA kwa sasa wamebakisha mechi nane tu wamalize ligi msimu huu wa 2018/19, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi...

READ MORE

Makambo Awafunika Kagere, Bocco

HERITIER Makambo wa Yanga, anaonekana kuwa vizuri katika kufunga mabao msimu huu na kuwazidi ujanja washambuliaji wa Simba, Meddie Kagere...

READ MORE

MAN CITY YAPIGWA NA SPURS UGENINI BAO 1-0

TOTTENHAM Hotspur wakiwa kwenye uwanja wao mpya wa London, jana walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Man...

READ MORE

Chama: Tulieni, Mazembe Watakufa Kwao

KIUNGO mpaka rangi wa Simba, Clatous Chama raia wa Zambia, amehuzunika kwa kushindwa kuwafunga TP Mazembe kwenye Dimba la Taifa...

READ MORE

Yanga Yakusanya Mil 500 Kwa Siku, Wachezaji Walipwa Mishahara

  KAMATI ya Uhamasishaji ya Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Mkongomani, Mwinyi Zahera juzi imefanikiwa kukusanya...

READ MORE

NYIKA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA YANGA, ORODHA HII HAPA

WAAKATI kilabu ya Yanga ikiwa katika harakati kabambe  kuelekea uchaguzi mkuu, jumla ya watu 28 mpaka sasa wamesharudisha fomu za...

READ MORE

Mwigulu agharamia usajili wa straika mmoja Yanga

MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amemuambia Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera ampe jina la mchezaji yeyote anayemuhitaji...

READ MORE

Chama: Tulieni, Mazembe watakufa kwao

KIUNGO mpaka rangi wa Simba, Clatous Chama raia wa Zambia, amehuzunika kwa kushindwa kuwafunga TP Mazembe kwenye Dimba la Taifa...

READ MORE

TP Mazembe Waondoka Dar na Hofu Kubwa

NAHODHA wa TP Mazembe, Rainford Kalaba, amesema kuwa kitendo chao cha kushindwa kupata bao lolote katika mchezo wa juzi Jumamosi...

READ MORE

Aussems: Tutawachapa Mazembe kwao

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefunguka kuwa licha ya kutoka sare katika mchezo wao wa juzi wa Ligi ya...

READ MORE

Panga kali Yanga, Kocha Zahera Ataja Sita Wapya

MWINYI Zahera ameweka wazi kwamba anahitaji mastaa wapya sita wa maana Yanga msimu ujao. Lakini habari ya kushtua ni kwamba...

READ MORE

VIDEO: Mwinyi Zahera Alivyowatoa Machozi Mashabiki Yanga

“Katika muda niliofanya kazi hapa, nimesoma na kujifunza vitu vingi sana. Hata kwa hiki ninachoshuhudia leo hakika kimenipa hamasa sana!...

READ MORE

Simba Kuwatoa Kwao TP Mazembe Kama Waangola

KWA kiwango na takwimu za uwanjani walizoonyesha Simba jana dhidi ya TP Mazembe uwezekano upo wa kufuzu nusu fainali.  ...

READ MORE

IVO MAPUNDA AHAMASISHA KUUNDA TIMU BORA FAINALI YA BONANZA

  BALOZI wa Castle Lager Africa 5s nchini Tanzania, Ivo Mapunda amewaomba wamiliki wa Baa kuunda timu bora za kiushindani...

READ MORE

SIMBA YABANWA NYUMBANI NA TP MAZEMBE, YATOKA SARE TAIFA (PICHA +VIDEO)

SIMBA  leo wamelazimisha sare kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya robo fainali wakiwa nyumbani mbele ya TP Mazembe...

READ MORE

Simba Sc hamna sababu ya kuiacha Mazembe leo

NI siku nyingine ambayo Simba wanakabiliwa na mchezo mgumu kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa sasa timu...

READ MORE

Picha: Simba Walivyopasha Kabla ya Mechi

Kikosi cha timu ya  Simba wakipasha kabla ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP...

READ MORE

PICHA: TP Mazembe Walivyopasha Kabla ya Mechi Taifa

Kikosi cha timu ya  TP Mazembe ya DR Congo wakipasha kabla ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

PICHA: Simba vs Mazembe…Muonekano wa Ndani Ya Uwanja

Watanzania wamejitokeza kuishangilia Simba  kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo Jumamosi saa 10 jioni itaikaribisha TP Mazembe...

READ MORE

Kinachoendelea Uwanja wa Taifa, Simba vs Mazembe (Picha +Video)

LEO Jumamosi saa 10 jioni kwa saa za Tanzania, Simba SC itaikaribisha TP Mazembe ya DR Congo katika mchezo wake...

READ MORE

Kisa uchaguzi, kigogo Yanga njia panda

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga, mgombea ambaye alijitokeza katika uchaguzi wa awali, Yono Kevela, amefunguka kuwa bado yupo...

READ MORE

MBWEMBWE la MASHABIKI wa SIMBA Zimeanza – Video

Wakati mazoezi ya kikosi cha Simba yamemalizika mashabiki wa Simba walionekana kuwa na hamu ya kuzungumza kuelekea mchezo huo huku...

READ MORE

Kila la heri Simba, mashabiki onyesheni uzalendo

LEO Jumamosi saa 10 jioni kwa saa za Tanzania, Simba SC itaikaribisha TP Mazembe ya DR Congo katika mchezo wake...

READ MORE

Lyon Yamkataa Jose Mourinho

RAIS wa Klabu ya Lyon, Jean-Michel Aulas ametoa taarifa kuwa klabu yake haina nafasi ya kumpa ajira kocha Jose Mourinho,...

READ MORE

Paul Pogba Anataka Bilioni 1.5 Kwa Wiki Abaki Man U

MANCHESTER United ipo tayari kuanza kufanya mazungumzo ya mkataba mpya na kiungo wake, Paul Pogba, ambapo kuna mahitaji ya mkataba...

READ MORE

Simba Yanasa Mbinu za Mazembe Kweye Video

KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems juzi asubuhi pale kambini Sea Scape aliwaita wachezaji wake nakwenda kwenye ukumbi maalumu na...

READ MORE

Nyoni: Msiogope, njooni Taifa tunawapiga Mazembe

KIRAKA wa Simba, Erasto Nyoni amesisitiza kwa mdomo wake kwamba leo ni lazima washinde mbele ya TP Mazembe hivyo mashabiki...

READ MORE

Mwakilishi wa CAF Awavuruga Simba Mazoezini

MWAKILISHI wa Shirikisho la Soka Afrika ‘Caf’ jana aliibuka kwenye mezoezi ya Simba yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani...

READ MORE

Waziri ampeleka Zahera Dodoma kuchukua mamilioni ya usajili

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera leo asubuhi anatarajiwa kusafi ri kwa ndege kwenda mkoani Dodoma. Mkongomani huyo atasafi...

READ MORE

TP Mazembe Yataka Saini Ya Chama na Meddie Kagere

TP Mazembe rasmi imeingia kwenye rada ya kuwania saini ya kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama na mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere...

READ MORE

VIDEO: KAULI SITA NZITO ALIZOZISEMA MO DEWJI DHIDI YA TP MAZEMBE

Aliyoyazungumza Mwekezaji Mkuu wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji Mo kuelekea mechi ya kesho na TP Mazembe. “Tumejipanga vizuri sana,...

READ MORE

Baba wa Lionel Messi Atiwa Mbaroni

Baba wa nyota wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi aitwaye Jorge Messi amepata ajali...

READ MORE

KISA MAZEMBE Mo Amficha Kiungo Mpya Dar

MFANYABIASHARA na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji, anadaiwa kumficha kiungo mkabaji raia wa Ivory Coast, Jean Vital Ourega,...

READ MORE

Yanga Yaisogezea Ubingwa Simba, Yatoka 1-1 na Ndanda FC

MATOKEO ya sare ya bao 1-1 waliyoyapata Yanga, jana Alhamisi dhidi ya Ndanda FC, yanazidi kuipa nafasi kubwa Simba ya...

READ MORE

Kisa Mazembe, Kagere auwasha moto Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba raia wa Rwanda, Meddie Kagere, ameweka wazi kile alichoiandalia timu ya TP Mazembe katika mchezo wa kesho...

READ MORE

Simba: Tunamaliza mchezo Taifa

UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa unataka kuwamaliza TP Mazembe hapa nyumbani ili iwe rahisi kutinga nusu fainali ya...

READ MORE