×

Michezo

Yanga Na Nmb Wazindua Kadi Maalum Za Wanachama Zenye Bima Za Mamilioni

BENKI ya NMB na Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na MasterCard Intenational, wamezindua Kadi Maalum ya Wanachama wat imu hiyo...

READ MORE

Amigos Inakupa Mgao wa Tsh 13,000,000/= Ukicheza Kasino ya Mtandaoni

Ni moja kati ya sehemu ambayo ukiichagua haiwezi kukuangusha, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kwa sababu kila kukicha imekuwa ni sehemu...

READ MORE

Aziz Ki Atua Na Mabao Ya Guede Yanga

MABOSI wa Yanga wana matumaini makubwa na mshambuliaji wao mpya, Joseph Guede huku ukiamini kuwa nyota huyo atafaidika zaidi mara...

READ MORE

Ivory Coast yafuzu kuingia fainali, kukutana na Nigeria Jumapili

Kocha wa Ivory Coast, Emerse Fae, alielezea ushindi wa timu yake kwenda hadi fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika...

READ MORE

Ufahamu Mchezo wa Roulette Kwa Undani Iwe Rahisi Kushinda

Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia...

READ MORE

Simba Yapata ushindi wa Bao 4-0 Dhidi ya Tabora United

Magoli kutoka kwa Pa Omary Job, Sadio Kanouté, Che Fondoh Malone na Fred Michael yameiwezesha Klabu ya Simba kupata ushindi...

READ MORE

Chukua Mkwanja Wako na Meridianbet Leo

Unasubiri nini kuchukua mkwanja na Meridianbet?. Ingia sasa kwenye akaunti yako nausuke mkeka wako haraka kwa kuchagua machaguo yako uyapendayo...

READ MORE

Yanga Yasani Mkataba wa Miaka Miwili na Hospitali ya Aga Khan

Klabu ya Yanga leo Feburari 6, 2024 imesani mkataba wa miaka miwili na Hospitali ya Aga Khan kwa ajili wachezaji...

READ MORE

Kiungo Yanga Majanga, Nje Mwezi Mmoja

KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Salum Abubakari ‘Sure Boy’ muda wowote atafanyiwa operesheni ya bega ikiwa ni baada ya kupata majeraha...

READ MORE

Kocha Mkuu Simba Atangaza Pointi 15 Za Ubingwa

MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa juzi...

READ MORE

Kasino ya Super 20 Star Cheza na Ushinde

Kila mtu ni staa wa maisha yake, kila unachokifanya unaweza kujikuta unafaidika nacho na kukufanya kuwa maarufu, ipo mifano mingi...

READ MORE

Fainali za Kombe la Dunia 2026 kufanyika New Jersey, Marekani

  Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 2026 zitafanyika kwenye Uwanja wa MetLife, katika jimbo la New Jersey, Marekani,...

READ MORE

Kasino Yenye Hadithi za Kale Unaipata Meridianbet

Zamani kulikuwa na utaratibu na utamaduni wa kusimuliana hadithi, mababu na bibi zetu walikuwa ndiyo vinara wa kutoa stori za...

READ MORE

Wajanja Wote Wanabeti na Meridianbet

Jumapili ya kuchukua mpunga ndani ya meridianbet ni hii ya leo, basi mimi nakwambia leo hii ndiyo siku nzuri kwa...

READ MORE

Gamondi Aisuka Pacha Ya Straika Mpya Yanga

  KATIKA kuhakikisha mshambuliaji wake mpya, Joseph Guede anapachika mabao, Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi ameanza kutengeneza kombinesheni...

READ MORE

Ukitaka Kula Hela Beti na Meridianbet Leo

Ikiwa leo hii ni siku mpya kabisa ya Jumamosi ligi mbalimbali Duniani zinatarajiwa kuendelea kuanzia pale EPL, LALIGA, BUNDESLIGA na...

READ MORE

Benchikha Azitolea Macho Dakika 180 dhidi Mashujaa FC

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao wanazopiga ni kuhakikisha wanafanikiwa kivuna pointi sita...

READ MORE

Nabi Amvuta Henock Inonga Baka FAR Rabat

HABARI mbaya kwa mashabiki wa Simba ni kwamba beki wao wa kati Henock Inonga Baka yupo katika hatua za mwisho...

READ MORE

Yanga Wadondosha alama mbili katika dimba la Kaitaba dhidi ya Kagera Sugar

Wananchi wamedondosha alama mbili katika dimba la Kaitaba kufuatia sare tasa dhidi ya Wanankurukumbi, Kagera Sugar. FT: Kagera Sugar 0-0...

READ MORE

Kocha Yanga Awaondoa Wawili Kikosi Kitakachowavaa Kagera Leo

KOCHA Mkuu wa Yanga amechukua maamuzi ya kuwabakisha Jijini Dar es Salaam mabeki wake tegemeo nahodha Bakari Mwamnyeto na Ibrahim...

READ MORE

Aliyetemwa Simba Agombewa Sauzi, Zambia

KLABU ya Amazulu FC ya nchini Afrika Kusini sambamba na Zesco  United, Red Arrows na Power Dynamos zote za Zambia...

READ MORE

Augustine Okrah Apewa Kifaa Maalum Yanga, Ali Kamwe Afunguka

MADAKTARI wa Yanga wanaangalia uwezekano mkubwa wa kumpa kifaa maalum cha ‘Mask’ kiungo wake mpya Augustine Okrah aliyepata jeraha eneo...

READ MORE

Ifahamu Historia ya Roma Kupitia Mchezo Huu wa Kasino ya Mtandaoni.

Kama umekuwa unapendelea mambo na historia za kale, basi kuna jambo lako pale Meridianbet kasino ya mtandaoni. Mara hii unakaribishwa...

READ MORE

Baada Ya Kutambulishwa Rasmi Yanga… Guede: Siangalii Mtu Usoni

MSHAMBULIJAI mpya wa Yanga, Joseph Guede ametamba kwa kuwaonya mabeki wa timu pinzani akiwemo Inonga Baka anayekipiga Simba kwa kusema...

READ MORE

Kisa Inonga, Benchikha Awachenjia Mabosi Simba

  BENCHI la Ufundi la Simba, ambalo lipo chini ya Kocha Mkuu Mualgeria, Abdelhak Benchikha limezuia mauzo ya beki wao...

READ MORE

Kusanya Maokoto na EPL Leo Pale Meridianbet

Kama kawaida wiki hii imekaa ya kupiga mikwanja ya maana pale meridianbet kwa kubeti mechi za EPL ambazo leo hii...

READ MORE

Siku 26 Ngumu Yanga Kutamatika leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi

NI kama zilikuwa siku ngumu kwa mashabiki wote wa Yanga baada ya kukaa muda mrefu bila kuishuhudia timu yao ikicheza...

READ MORE

Uongozi wa Simba Wamsamehe kiungo wake Clatous Chama

Uongozi wa Simba umemsamehe kiungo wake Clatous Chama kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu yaliyokuwa yakimkabili na Februari 01...

READ MORE

Benchikha Aifumua Simba dhidi ya Tembo Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC)

KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ametamba kuwa ataingia kivingine kwa kufanya mabadiliko ya kikosi cha timu hiyo katika mchezo...

READ MORE

Rais Dk.Mwinyi Aagana Na Balozi Mdogo Wa China

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang...

READ MORE

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Yatinga robo fainali AFCON 2023

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) kufuatia...

READ MORE

Mbagala Rangi 3 Wanufaika na Meridianbet

Meridianbet wameendelea kurejesha kwenye jamii kama ilivyo kawaida yao huku leo hii siku ya Jumamosi wamerudi tena Mbagala Rangi 3...

READ MORE

Azania Bank Bunge Bonanza Lilivyofana

Tamasha la Azania Bank Bunge Bonanza limefanyika leo hii katika Viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma na kuweka rekodi ya kuwa...

READ MORE

Sloti ya Fashion Night Maalum kwa Wapenda Mtindo

Hadithi za kale zina mafundisho mengi sana ndani yake, baadhi ya tungo hizo zilikuwa na lengo la kubadili mitazamo ya...

READ MORE

Jumamosi ni ya Kupiga Mpunga Meridianbet

Jumamosi imefika ya wewe kuondoka na kitita cha pesa ukiwa na meridianbet kwenye simu yako na kubashiri mechi zako kwa...

READ MORE

Kerry Packer Tajiri Mpenda Kasino| Shinda Mamilioni na EPIC JACKPOT

Katika ulimwengu huu wenye matajiri wengi bado kuna watu wanatanua na kula maisha kwa namna tofauti. Huko nchini Australia kuna...

READ MORE

Straika mpya Simba Michael Fred ana balaa huyo

MRITHI wa mikoba ya mshambuliaji, Jean Baleke ambaye anaondoka akiwa namba moja kwenye utupiaji ndani ya ligi akiwa katupia mabao...

READ MORE

Ingia Meridianbet Usuke Mkeka Wako Leo

Kupiga maokoto ni rahisi sana endapo utabashiri na meridianbet leo hii, mechi zipo kibao sana kuanzia hizi za AFCON na...

READ MORE

Sloti ya Juicy Fruits Bonasi Kibao, Cheza Sasa Kasino Hii Ufurahie Ushindi Mkubwa

Juicy Fruits Multihold ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa wataalamu ‘Pragmatic Play‘. Mchezo huu wa sloti, utakutana na...

READ MORE

Samatta: Hatujafurahishwa Na Matokeo Ya Mchezo Dhidi Timu Ya Zambia

Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amesema yeye pamoja na wachezaji wenzake hawajafuraisha na matokeo ya mchezo wao dhidi Timu...

READ MORE