×

Michezo

Arsenal Yapokea Kichapo cha 3-0, Spurs Waendelea Kuteseka dhidi ya Aston Villa

Arsenal imeanza kupoteza kasi katika mbio za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Brighton...

READ MORE

Raphinha Acharuka, Afunga Hat-Trick, Barca Yaendeleza Mwendo wa Ushindi

Raphinha amefunga hat-trick na kuisaidia Barcelona kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Sevilla katika mchezo wa La Liga...

READ MORE

Macho Yote Brighton! Arsenal Yalenga Kuendeleza Kasi EPL

Ni siku nyingine tena ya kushuhudia miamba kibao ikishuka dimbani leo kwenye Ligi kuu ya EPL. Je ni Arsenal kujihakikishia...

READ MORE

Tuchel Awaonya Alexander-Arnold na Palmer Baada ya Kuwaita Tena England

KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, amewajumuisha tena Trent Alexander-Arnold na Cole Palmer katika kikosi cha Alexander-Arnold,...

READ MORE

Taifa Stars Kuanza Kampeni ya AFCON 2027 Dhidi ya Guinea-Bissau

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kuanza kampeni yake ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Kuhusu Jezi Mpya za Timu Za Taifa

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ufafanuzi kuhusu jezi za timu za taifa kufuatia mjadala uliotokana na mchakato...

READ MORE

Rais Mwinyi Amteua Hafsa Mbamba Kuwa Naibu Mkurugenzi ZIPA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Hafsa Hassan Mbamba kuwa Naibu Mkurugenzi...

READ MORE

Yanga Kukiwasha na St. George ya Ethiopia Uwanja wa Uhuru Leo

Klabu ya Yanga inatarajiwa kushuka dimbani leo, Ijumaa, Septemba 18, 2026, kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya St....

READ MORE

Mchezo wa Moto Bundesliga leo, Bayern Munich Kukiwasha dhidi ya Union Berlin

Tukiwa bado tunaendelea na mitanange ya ligi mbalimbali, leo hii kuna mechi za kukata na shoka. Bayern Munich itakuwa mwenyeji...

READ MORE

Zidane Aanza Rasmi Era Mpya ya Timu ya Taifa ya Ufaransa

KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa, Zinédine Zidane, ameanza rasmi ukurasa mpya baada ya kuchukua nafasi ya Didier...

READ MORE

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Azungumza na Rais Wa CAF, Patrice Motsepe jijini Dar

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 17, 2026, amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dkt....

READ MORE

Pablo Franco Atoa Somo Morocco, Atwaa Tuzo Ya Kocha Bora

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Simba SC ya Tanzania na AmaZulu ya Afrika Kusini, raia wa Hispania, Pablo Franco...

READ MORE

Mixx, Zangof Waunganisha Nguvu Kuwezesha Asasi Za Kiraia Zanzibar

Zanzibar, Septemba 16, 2026 – Asasi za kiraia Zanzibar zitapata fursa ya kutumia huduma za kifedha za kidijitali kusimamia malipo,...

READ MORE

Deportivo La Coruna Dhidi ya Sevilla, Nani kubeba pointi Tatu?

Deportivo La Coruña itakuwa mwenyeji wa Sevilla katika mchezo wa LaLiga utakaopigwa leo Jumatano, Septemba 16, kwenye Uwanja wa Abanca-Riazor....

READ MORE

Clement Mzize Arudi Kwenye Mapambano Baada ya Miezi Sita

Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, amepona jeraha la goti lililomuweka nje ya uwanja kwa takribani miezi sita na sasa yupo...

READ MORE

Sokabet Yatumia Sh44.7 Bilioni Kuwazawadia Washindi Wa Mwezi Agosti

Dar es Salaam. Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Sokabet imetumia jumla ya Sh44, 658,787,637 kuwazawasia washindi mbalimbali kwa mwezi...

READ MORE

Chukua Mkwanja Mapema na Meridianbet, Elche na Real Madrid Kukiwasha

Je unajua kuwa leo ndiyo ile siku ambayo unaweza ukaondoka na pesa za kutosha kutoka Meridianbet?. Mechi kibao za ushindi...

READ MORE

Mo Hussein Awaonya Geita Gold, “Tumewachambua kwa Ukaribu”

Mchezaji wa Yanga, Mohamed Hussein, amesema timu hiyo inaendelea vizuri na ipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Geita...

READ MORE

Kocha wa Yanga Aibuka na Mbinu Mpya, Awataka Mashabiki Kuwa na Subira

Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, leo Septemba 14, 2026 amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kufuatia kiwango kisichoridhisha katika...

READ MORE

Misri Yaitaka Iran Kusitisha Mashambulizi Dhidi Ya Nchi za Kiarabu

Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi, ameitaka Iran kuchukua hatua za kupunguza mvutano unaoongezeka katika Mashariki ya Kati na kushirikiana...

READ MORE

Ligi Zimerudi, Inter, Newcastle na Villarreal Kukiwasha leo, Odds Kubwa Kutoka Meridianbet

Ligi mbalimbali zimerejea na huu ni msimu wa kutengeneza pesa tuu. Anza safari ya ushindi hapa kwani wengi wametajirika sana....

READ MORE

Mtendaji Mkuu Singida Black Stars Ajiuzulu, Wamtangaza Tabitha Kidawawa

Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umetangaza mabadiliko ya uongozi baada ya Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Kassano Jonathan,...

READ MORE

Haaland Aichapa United Old Trafford, City Yashinda Derby kwa Bao la Utata

MANCHESTER, England — Erling Haaland amekuwa shujaa wa Manchester City baada ya kufunga bao lenye utata na kuipa timu yake...

READ MORE

Simba Yatinga Hatua ya Pili CAFCL kwa Kishindo, Yaifumua Mighty Wanderers bao 6-1

Simba SC imefanikiwa kusonga mbele hadi hatua ya pili ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) baada...

READ MORE

Old Trafford Kitawaka leo! Man United na Man City Kukutana Kwenye Derby Kali

Manchester United na Manchester City wanatarajiwa kukutana katika mchezo wa kusisimua wa Premier League leo Jumapili, Septemba 13, 2026, kwenye...

READ MORE

Vita vya Pointi Ulaya: Manchester Derby, PSG na Atletico Uwanjani

Wikendi hii inatarajiwa kuwa na ratiba yenye michezo mbalimbali kutoka katika ligi kubwa za soka barani Ulaya, huku baadhi ya...

READ MORE

Yanga Yatinga Hatua ya Pili CAFCL Kwa Ushindi wa Jumla wa 3-2

YANGA imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) baada ya kuiondoa Gaborone...

READ MORE

Doumbia Aandaliwa Kuikabili Mighty Wanderers Ligi ya Mabingwa Afrika

Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia, ni miongoni mwa wachezaji wanaoendelea na mazoezi maalumu kuelekea mchezo wa marudiano wa hatua...

READ MORE

Iñaki Williams Aaga Black Stars, Aendelea na Athletic Club

Mshambuliaji na nahodha wa Athletic Club, Iñaki Williams, ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa akiwa na umri wa miaka 32....

READ MORE

Liverpool Kukiwasha na Fulham Anfield, Isak Aongoza Mashambulizi leo

Klabu ya Liverpool inaendelea na kampeni yao ya ligi kuu ya EPL ambapo itakuwa mwenyeji wa Fulham katika mchezo wa...

READ MORE

Clara Luvanga Atembelea Yanga Baada ya Kusajiliwa Washington Spirit

Mshambuliaji wa Tanzania, Clara Luvanga, ametembelea klabu yake ya zamani ya Young Africans (Yanga), ikiwa ni muda mfupi baada ya...

READ MORE

Sevilla Kuikabili Valencia, Nani Kuibuka na Ushindi?

Klabu ya Sevilla itakuwa mwenyeji wa Valencia katika mchezo wa raundi ya tano ya LALIGA msimu wa 2026/27, utakaopigwa kwenye...

READ MORE

Libasse Gueye Mchezaji Bora Agosti, Manqoba Kocha Bora Ligi Kuu

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Libasse Gueye, ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti wa Ligi Kuu ya NBC msimu...

READ MORE

Kabla Ya Gaborone, Nondo Afunguka Kiwango Chake Msimu Huu

Nahodha wa Yanga SC, Bakari Nondo, amesema sababu kubwa ya kurejea kwenye kiwango bora ni maandalizi mazuri pamoja na ushirikiano...

READ MORE

Arsenal, Liverpool na Barcelona Zaanza Ligi ya Mabingwa Kwa Ushindi

Arsenal imeanza vyema kampeni yake ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi...

READ MORE

Barcelona vs Feyenoord Mtihani wa Kwanza UCL kwa Barça

Barcelona inaanza safari yake ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2026/27 kwa kuikaribisha Feyenoord kwenye Spotify Camp Nou, katika...

READ MORE

Job na Mzize Kuongeza Nguvu Yanga Baada ya Kufanyiwa Vipimo Afrika Kusini

Beki wa kati ndani ya kikosi cha Yanga SC, Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize wanatarajiwa kurejea uwanjani hivi karibuni...

READ MORE

Mtanzania Neema Kengere Arejeshwa Tanzania Leo Kutoka Oman – Video

Mtanzania Neema Anthony Kengere, aliyekuwa amelazwa katika Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Sohar nchini Oman, anatarajiwa kurejeshwa...

READ MORE

Real Madrid, Inter, Dortmund na Villarreal Kitawaka Ligi ya Mabingwa

Kama kawaida ile siku tuliyokuwa tunaingoja imefika kwani ni siku maalumu ya kwenda kuishuhudia Ligi ya Mabingwa. Wababe wengi kushuka...

READ MORE

TRA United Yamfukuza Kocha Ndayiragije Baada Ya Mwanzo Mbaya

Klabu ya TRA United SC imethibitisha kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije, kwa makubaliano ya pande...

READ MORE