×

Michezo

Monday Cashback & Bonus Back: Wiki Mpya Yaanza na Zawadi Meridianbet

Wiki mpya inaanza kwa kasi tofauti kwa wapenzi wa burudani za mtandaoni kupitia Monday Cashback & Bonus Back ya Meridianbet....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 17, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

The Africa Rally Yachangisha Milioni 20 kwa Chuo cha Ufundi cha Safal ALAF

Taasisi ya Safal ALAF Foundation imepokea takribani shilingi milioni 20 zilizopatikana kupitia safari maalumu ya magari ya zamani inayojulikana kama...

READ MORE

Arsenal vs Man City, PSG vs Lens Kitawaka leo Ulaya leo Jumapili, Pesa Ipo Hapa

Je unajua kuwa ukibashiri na Meridianbet ni rahisi sana kwako wewe kutengeneza pesa ya uhakika?. Arsenal, PSG, na wengine kibao...

READ MORE

Countdown Imeanza! Mzuka wa Mabingwa Wabakiwa na Siku 24

Wakati mwingine nafasi kubwa huja na muda maalum, na sasa Mzuka wa Mabingwa wa Meridianbet umebakiwa na siku 24 tu....

READ MORE

Arsenal na Manchester City Kukiwasha Mechi ya Ngao ya Jamii leo

CARDIFF, Wales — Arsenal itaanza rasmi msimu wa 2026/27 kwa mtihani mkubwa dhidi ya Manchester City katika mchezo wa Community...

READ MORE

Yanga Yamuuza Allan Okello FAR Rabat ya Morocco kwa ada kubwa

Klabu ya Yanga SC imekubali kumuuza winga wake wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello, kwenda FAR Rabat ya Morocco kwa...

READ MORE

Unatafuta Kazi? Nafasi Ya Marketing & Advertising Officer Dar, Full-time

📍 Dar es Salaam | Full-time Tunatafuta Marketing & Advertising Officer mwenye uwezo, ubunifu na uzoefu katika Advertising Sales, hasa...

READ MORE

Aziz Ki Aibukia Tena Jangwani Baada ya Mwaka Mmoja

Hatimaye Yanga SC imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, ambaye amerejea Jangwani baada ya...

READ MORE

Polisi Tanzania na Azam Zagawana Pointi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Polisi Tanzania FC na Azam FC zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ushindani uliopigwa leo Agosti 15, 2026...

READ MORE

Marioo Aachia Video Rasmi ya “Watu” Akimshirikisha D Voice

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo, ameachia rasmi video ya wimbo wake “Watu” aliomshirikisha nyota wa Singeli, D Voice. “Watu” ni...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Ismail Mgunda Akitokea Mashujaa FC

Klabu ya Simba leo Agosti 15, 2026 imemtambulisha rasmi mshambuliaji Ismail Mgunda kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo kwa ajili ya...

READ MORE

La Liga Yarudi Rasmi: Alavés na Getafe Kufungua Msimu Mpya leo

Msimu mpya wa La Liga hispania unaanza rasmi leo Jumamosi, Agosti 15, kwa mechi itakayowakutanisha Deportivo Alavés na Getafe uwanja...

READ MORE

Mashujaa Yamshusha Kipa Wilbol Maseke Kutokea Coastal Union Ya Tanga

Klabu ya Mashujaa FC ya Kigoma imefanikiwa kumnasa golikipa Wilbol Maseke, aliyekuwa akiitumikia Coastal Union, kwa usajili wa mchezaji huru....

READ MORE

Haaland Atunukiwa Vyeti Vinne vya Guinness Baada ya Kuvunja Rekodi

Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, ametunukiwa vyeti vinne vya Guinness World Records baada ya kuweka rekodi mbalimbali za kipekee...

READ MORE

Bubble Up Yatingisha Meridianbet, Mizunguko Kumwaga Zawadi

Meridianbet imeongeza ladha mpya kwenye burudani za kasino baada ya Bubble Up kutoka Pragmatic Play kuwasili kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Msimu Mpya wa Ligi Waanza kwa Sare! Pamba Jiji na Dodoma Jiji Zatoka 1-1

Pamba Jiji na Dodoma Jiji zimeanza msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2026/27 kwa kugawana alama baada ya kutoka sare...

READ MORE

Yanga Yaandaa Usiku wa Kihistoria KMC, Usajili Mpya Kutambulishwa Kesho

Mashabiki wa Yanga SC wanatarajiwa kupata burudani ya kipekee kesho, Agosti 15, baada ya uongozi wa klabu hiyo kuandaa hafla...

READ MORE

Mwamnyeto na Mngqithi Watoa Kauli Ya Kibabe Kukiwasha Dhid Namungo Kesho

Beki wa Yanga SC, Bakari Mwamnyeto, amesema morali ndani ya kikosi hicho ipo juu kuelekea mchezo wao wa kwanza wa...

READ MORE

Usiku wa Historia Istanbul! Galatasaray Kukutana na Çorum FK kwa Mara ya Kwanza

Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Uturuki (Süper Lig) unaanza rasmi Ijumaa, Agosti 14, huku mabingwa watetezi Galatasaray wakikutana na...

READ MORE

Meridianbet Yafungua Mbio za Zawadi, Expanse Epic Spins Yaweka TSh Milioni 6

Meridianbet imefungua milango ya mashindano mapya ya kasino yanayokuja na ushindani pamoja na zawadi nono kupitia Expanse Epic Spins, Epic...

READ MORE

Steve Barker Akiri Makosa Baada ya Simba Kupoteza kwa Yanga

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amekiri kuwa kuna mambo yaliyohitaji kufanyiwa kazi baada ya kikosi chake kupoteza kwa...

READ MORE

Beşiktaş dhidi ya Hradec Králové Nani Kufuzu Europa League

Leo Alhamisi, Agosti 13, saa 20:00 usiku, uwanja wa Vodafone Park, Istanbul, utakuwa jukwaa la mechi ya pili ya raundi...

READ MORE

Mkesha wa Mwenge Buchosa, Polisi Sengerema Watoa Uhakika wa Usalama – Video

BUCHOSA, MWANZA — Jeshi la Polisi Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, limewahakikishia wananchi wa Buchosa kuwa litasimamia kikamilifu usalama...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji Kuelekea Kilele cha Tamasha la Kizimkazi

KIZIMKAZI, ZANZIBAR — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Mradi wa Maji Kizimkazi, ikiwa...

READ MORE

Yanga, Simba na Azam Zaanza Safari ya Ligi Kuu kwa Mikikimikiki

DAR ES SALAAM: Mabingwa watetezi wa NBC Premier League, Yanga SC, watafungua kampeni ya msimu wa 2026/27 kwa mchezo mgumu...

READ MORE

Karoline Aondoka White House, Aendelea Kuwa Mshauri wa Trump

Washington, D.C. — Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kwamba Karoline Leavitt ataondoka katika nafasi yake ya Katibu wa Habari...

READ MORE

Azam FC Yajibu Tetesi za Fei Toto Kuhamia Yanga au Simba

DAR ES SALAAM: Azam FC imesisitiza kuwa kiungo wake nyota, Feisal “Fei Toto” Salum, ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha...

READ MORE

Trey Songz Atua Dar Kuandika Historia Tamasha la IMBEJU Sauti Moja Kesho

DAR ES SALAAM: Mwimbaji maarufu wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz, amewasili nchini Tanzania kwa ajili ya kutumbuiza...

READ MORE

Uchawi wa Hadithi za Ireland Waingia Kwenye Dunia ya Kasino

Dunia ya michezo ya kasino imepata ladha mpya kupitia Meridian Leprechaun Wish, mchezo unaochota msukumo kutoka kwenye simulizi maarufu za...

READ MORE

Jeff Bezos Avamia Soka England, Liverpool Yatajwa Kwenye Dili la trilioni

Bilionea na mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos, anakaribia kuwa mmoja wa wamiliki wa Liverpool FC, baada ya kuhusishwa na muungano...

READ MORE

Yanga Yatwaa Ngao ya Jamii 2026 Baada ya Kuichapa Simba 1-0

ZANZIBAR: Young Africans SC (Yanga) wameanza msimu mpya kwa kishindo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...

READ MORE

Depú Arejea Petro de Luanda kwa Dau la TSh Bilioni 1.3!

Petro de Luanda imetangaza rasmi kumsajili tena mshambuliaji wa Kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depú’, kutoka Yanga, kuelekea...

READ MORE

Kitawaka Simba vs Yanga Ngao ya Jamii 2026, Zanzibar leo, Piga Pesa Hapa

Baada ya kushuhudia matamasha ya Simba Day na Yanga Day sasa ni zamu ya kuhamia uwanjani kwenda kumtafuta Bingwa ambaye...

READ MORE

Kesho ni Siku ya Maamuzi Zambia, Hichilema Akabiliwa na Mtihani Mzito Katika Uchaguzi Mkuu

LUSAKA, ZAMBIA: Zambia iko tayari kwa uchaguzi mkuu unaofanyika kesho, Alhamisi, Agosti 13, 2026, ambapo wananchi watapiga kura kumchagua Rais,...

READ MORE

Yanga Yakataa Ofa ya Tsh bilioni 1.8 kwa Allan Okello

Yanga wanadaiwa kukataa ofa ya dola 700,000, sawa na takribani Tsh bilioni 1.8, kutoka FAR Rabat ya Morocco kwa ajili...

READ MORE

Mwalimu Aanza Mazoezi Yanga Baada ya Kuwasili Zanzibar – Picha

Mshambuliaji Selemani Mwalimu ‘Gomez’ leo, Agosti 11, 2026, amewasili Visiwani Zanzibar akiwa pamoja na Ali Kamwe na muda mfupi baadaye...

READ MORE

Mbeto: Tamasha La Kizimkazi Linaendeleza Mila Na Utamaduni Wa Jamii

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tamasha la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, lina msingi wa kuhifadhi na kuendeleza utamaduni, mila...

READ MORE

Kocha wa Yanga Aahidi Ushindi Dhidi ya Simba Kesho Uwanja wa New Amaan Complex

Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesema timu yake iko tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba,...

READ MORE

Selemani Mwalimu ‘Gomez’ na Ali Kamwe Watua Zanzibar, Arafat Awapokea – Picha

Mshambuliaji Selemani Mwalimu ‘Gomez’ leo Agosti 11, 2026 amewasili Visiwani Zanzibar akiwa pamoja na Ali kamwe, ambapo amepokelewa na Makamu...

READ MORE