×

Music Videos

Christina Shusho – Password (Official Video)

Mtumishi wa Mungu na mwimbaji mahiri wa muziki wa injili, Christina Shusho ameachia Video ya wimbo wake wa Password.

READ MORE

Barnaba feat Yammi – Nibusu (Lyrics Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Barnaba Classic ameachia ‘Lyrics Video’ ya wimbo wake wa ‘Nibusu ‘ ameshirikisha msanii Yammi, msanii wa...

READ MORE

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya Hawakujua

 Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake...

READ MORE

TitoM & Yuppe – Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue] (Official Music Video)

Wasanii wa muziki, TitoM & Yuppe wameachia video ya wimbo wao wa ‘ Tshwala Bam’ wimbo uliotikisa Afrika.

READ MORE

Beka Flavour – Nakupenda (Official Video)

MWANA-MUZIKI ambaye alikuwa ni memba Yamoto Band kabla ya kusambaratika, Bakari Katuti ‘Beka Flavour’ ametoa video ya wimbo wake mpya...

READ MORE

Jay Melody – Baridi (Official Video)

Jay Melody; ni staa mwingine mkubwa kwa sasa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania leo ameachia video ya wimbo...

READ MORE

Zuchu ft Dadiposlim – Zawadi (Official Music Video)

ZUHURA Othman Soud almaarufu Zuchu au Zuuh; ni malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya...

READ MORE

Billnass Ft Mbosso – Number One (Official Music Video)

 Msanii wa Bongo Fleva, Billnass ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Number One’ amemshirikisha Mbosso.

READ MORE

Marioo Ft Harmonize – Away (Official Music Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo  ameachia video ya wimbo wake wa ‘Away’ ameshirikisha msanii wa Bongo, Rajab Abdul...

READ MORE

Abigail Chams – Milele (Official Music Video)

Msanii wa moto imwenye sauti tamu na uwezo mkubwa wa kucheza na ala za muziki si mwingine bali ni Abigail...

READ MORE

Nandy feat Alikiba – Dah! (Official Music Video)

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ ameachia wimbo wake mpya wa Dah! amemshilikisha Supastaa wa Bongo Fleva, Alikiba.

READ MORE

D Voice Ft Zuchu – BamBam (Official Music Video)

Msanii mpya katika label ya WCB, D Voice ameachia video ya wimbo wake wa BamBam amemshirikisha Zuhura Othman almaarufu Zuchu.

READ MORE

Abdukiba feat Vanillah & Alikiba – MUDA (Official Lyric Video)

Msanii wa Bongo Abdukiba ameachia video ya wimbo wake mpya wa MUDA ambao amemshilikisha Supastaa wa Bongo Fleva, Alikiba, Vanillah

READ MORE

G Nako x Diamond Platnumz – Komando (Official Music Video)

MKALI wa Bongo Fleva kutoka Kundi la Weusi, George Sixtus Mdemu ‘G Nako’ ameachia video ya wimbo wake mpya wa...

READ MORE

Linah X Stamina Shorwebwenzi – Sikukumbuki (Official Music Video)

MREMBO anayefanya vizuri kwa sasa kunako gemu la Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ ameachia Video ya wimbo wake mpya unaokwenda...

READ MORE

Lady Jaydee – Mambo Matano (Official Music Video)

Msanii wa muziki Bongo, Lady Jaydee ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mambo Matano.

READ MORE

Baba Levo ft Diamond Platnumz – Amen (Official Video)

Msanii na Mtangazaji wa Wasafi FM, Baba Levo ameachia wimbo wake wa Ameni amemshrikisha Staa wa muziki wa Bongo fleva...

READ MORE

Kayumba – Usiniongopee (Official Music Video)

Mshindi wa Bongo Star Search 2015 na HIT MAKER wa ngoma ya Mazoea, Maumivu, Umeniweza, Wasi Wasi, Kayumba Juma ‘Kayumba’...

READ MORE

Di Namite Mjomba (Official Music Video)

Binti mdogo wa Kitanzania anayeishi nchini Italia, anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya, Namite Liesbeth Selvaggi...

READ MORE

Nandy – Follow (Official Music Video)

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘nandy’ leo Agosti 29, 2023 ameachia video yake ya Follow.

READ MORE

Billnass ft Marioo – Maokoto (Official Music Video)

 MWANAMUZIKI William Lyimo ‘Billnass’ (Nenga) ameachia video ya wimbo wake mpya wa Maokoto ambao amemshirikisha msanii wa muziki wa...

READ MORE

Diamond Platnumz – Overdose (Official Lyric Audio)

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia wimbo wake wa Overdose.  

READ MORE

Ommy Dimpoz – My Queen (Official Music Video)

MSANII wa Bongo Fleva Omary Faraji Nyembo, maarufu kama Ommy Dimpoz, ameachia video ya wimbo wake wa My Queen akimuimbia...

READ MORE

Phina – DO SALALE (Official Lyrics video)

Mwimbaji na miongoni mwa vipaji vikubwa vinavyokua kwa kasi na kufanya vizuri kutoka Tanzania ‘Phina’ Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda...

READ MORE

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya Alpha na Omega (Official Video)

Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote...

READ MORE

Harmonize Ft Ruger – Single Again Remix (Official Music Video)

MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia Remix ya Single Again  amemshirikisha Ruger.

READ MORE

Diamond Platnumz ft Koffi Olomide – Achii (Official Music Video)

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Achii! amemshirikisha Koffi Olomide.

READ MORE

Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Tuna Kikao (Official Music Video)

MKALI wa muziki kutoka kundi la Wasafi, Abdul ‘Lavalava’ ameachia video ya ngoma yake mpya ya Tuna Kikao kamshirikisha bosi...

READ MORE

Jux Ft Diamond Platnumz – Enjoy (Official Video)

STAA wa Bongo Fleva, Juma Jux , ameachia video yake ya ‘Enjoy’  ambayo kamshirikisha supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya...

READ MORE

Alikiba Aachia Wimbo wa Simba (Mnyama), Kupiga Bonge la Shoo Kwa Mkapa

Rasmi Staa wa Muziki wa Tanzania na Afrika, AliKiba ‘King Kiba’amehamia Simba na Agosti 6, 2023 atakuwa mtumbuizaji mkuu katika...

READ MORE

Harmonize – Dear X (Official Audio)… Upo Hapa, Kajala Atajwa

Mashabiki wa Mkurugenzi mkuu wa lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide Harmonize wamepongeza wimbo wa Dear X, huku wakimtaja...

READ MORE

Harmonize – Tena (Official Music Video)

MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Tena....

READ MORE

Harmonize Ft Spice – Miss Bantu (Official Music Video)

MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Miss...

READ MORE

Alikiba feat Marioo – Sumu (Official Music Video)

MSANII nguli wa mziki wa kizazi kipya (Bongo fleva), Alikiba na Marioo wameachia video ya wimbo wao wa Sumu.

READ MORE

Diamond Platnumz feat Chley – Shu! (Official Music Video)

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya  Shu!

READ MORE

Yammi – Tiririka (Official Music Video)

Msanii, Yammi wa lebo ya msanii maarufu wa Bongo Fleva, Faustina Mfinanga ‘nandy’ leo Juni 27, 2023 ametambulisha rasmi video...

READ MORE

Martha Mwaipaja – UNASEMA NINI (Official Video)

Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Martha Mwaipaja, Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la-Unasema Nini.

READ MORE

Diamond Platnumz – Yatapita (Official Music Video)

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Yatapita.  

READ MORE

Harmonize Ft. Alice Kella – Best Friend (Official Music Video)

MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la-Best Friend.

READ MORE