×

Siasa

Magufuli Aanika Siri Nzito Dodoma

MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amewambia wapiga kura wake kuwa anasiri kubwa na nzito ndani...

READ MORE

Lissu Akana Kupokea Wito NEC

MGOMBEA urais kupitia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema kuwa hajapokea malalamiko yoyote kutoka Tume ya Taifa...

READ MORE

Tundu Lissu Aitwa NEC Kujieleza

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya...

READ MORE

Mussa Sima: Puuzeni Wanaombeza Dk. Magufuli

Mgombea Ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Sima amewataka Watanzania kupuuza wapinzani wanaombeza...

READ MORE

Shigongo: Nimeacha Kila Kitu Niteseke Sababu ya Wana-Buchosa

MBOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amesema kuwa ameacha kila kitu...

READ MORE

Shigongo: Dkt. Tizeba Umefanya Jambo la Kishujaa – Video

ERIC SHIGONGO, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),jana Ijumaa, Septemba 25, 2020, amezindua rasmi kampeni...

READ MORE

Tabasamu Amuombea Kura Shigongo: Kwa Timu Hii, Wamekwisha! – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, jana Ijumaa, Septemba 25, 2020, amezindua rasmi...

READ MORE

Shigongo Azindua Kampeni, Aahidi Buchosa Mpya

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo leo...

READ MORE

Balaa! Mapokezi ya Shigongo Uzinduzi wa Kampeni Buchosa – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, leo Ijumaa, Septemba 25, 2020, anazindua rasmi...

READ MORE

CECIL MWAMBE: Safari yangu kisiasa haikuwa rahisi

Mgombea Ubunge jimbo la Ndanda mkoani Mtwara, Cecil Mwambe amesema safari yake kisiasa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita haikuwa...

READ MORE

Boniface, Prof. Kitila Wakutana Global Radio; Watifuana – Video

WAGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo, Boniface Jacob (Chadema) na Prof. Kitila Mkumbo (CCM) ambao wanachuana vikali katika kinyang’anyiro hicho...

READ MORE

Mussa Sima Apania Kuigeuza Singida Kuwa Jiji

Mgombea Ubunge jimbo la Singida mjini kupitia CCM, Mussa Sima amewaahidi wananchi wa jimbo hilo kumalizia kutatua changamoto zilizopo katika...

READ MORE

Boniface Jacob Asimamishwa Kufanya Kampeni kwa Siku 7 – Video

MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Boniface Jacob, amesimamishwa kuendelea na kampeni, akidaiwa kukiuka...

READ MORE

Msajili, Upinzani Lugha Gongana; Mgombea Urais Asitisha Kampeni – Video

MVUTANO unaendelea kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na vyama viwili vya siasa; Chama cha Demokrasiana Maendeleo...

READ MORE

Kijiji kwa Kijiji! Shigongo Atua Kome Kuomba Kura – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, amewaomba wanachama wa chama hicho...

READ MORE

Boniface Mgombea Aliyefanyiwa Umafia, Kupambana na Mkumbo

BONIFACE Jacob a.k.a Bonny, ni mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Ni kijana...

READ MORE

Majanga Mengine! Fatma Karume Atimuliwa TLS

Kikao cha Kamati ya Maadili ya Mawakili kilichoitishwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS kilichoketi leo, Septemba 23, 2020...

READ MORE

Shigongo Ajiachia na Wazee wa Buchosa

  MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo,  amejumuika na...

READ MORE

Maalim Seif Amtangaza Lissu Urais, Membe Agoma!

  CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

UVCCM Songwe Yamwandama Lissu Kila Kona

  Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe umemtaka mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

READ MORE

Maalim Seif Aahidi Neema ya Uchumi Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema anakusudia kuifanya Zanzibar kuwa kitovu cha...

READ MORE

Magufuli Atoboa Siri iliyowaponza Kaliua – Video

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)  John  Magufuli, amesema kuwa jana alipita Jimbo la Kaliua wananchi wakamlilia kuhusu suala...

READ MORE

Majaliwa: Hakuna Kiongozi Zaidi ya Magufuli

MJUMBE wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM amesema kati ya wagombea urais waliojitokeza, hakuna kiongozi zaidi...

READ MORE

Wananchi Wataka Kufahamu Atakayowafanyia Shigongo Buchosa

  WAKATI mchakamchaka wa kampeni ukiendelea kupamba moto katika maeneo mbalimbali huku wagombea urais, ubunge na udiwani wakinadi sera zao...

READ MORE

UVCCM Songwe Waanza Kusaka Kura Nyumba kwa Nyumba

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM) Mkoa wa Songwe wamezindua kampeni ya mkoa mzima ya kutafuta kura...

READ MORE

Mgombea wa Mbatia Ajitoa Kwenye Kinyang’anyiro

  MGOMBEA ubunge Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Mkinga Ugin Gidion, amejitoa katika kinyang;anyiro hicho huku mwenyekiti...

READ MORE

CHADEMA Kuwapa Mazingira Bora Wafanyabiashara

MGOMBEA mwenza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Salum Mwalimu, ameahidi kuwawekea mazingira mazuri wafanyabiashara wote.   Alitoa ahadi...

READ MORE

Tarime Vijijini Mtoto Hatumwi Dukani Oktoba 28

Tarime vijijini ni mojawapo ya majimbo manne yanayonogesha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu. Majimbo mengine ni Kawe,...

READ MORE

Magufuli, Lissu Uamuzi Mgumu

  MOTO wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, umeendelea kukolea na kuwaacha wananchi katika wakati mgumu wa kutafakari mgombea watakayempatia ushindi...

READ MORE

Uzinduzi Kampeni: Shigongo Apania Kuisimamisha Buchosa Septemba 24

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, anatarajia kuzindua rasmi kampeni...

READ MORE

Msigwa Aahidi Neema Iringa Mjini

Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amewaomba wananchi wa...

READ MORE

Said Fella Naye Azua Mafuriko Kilungule

MENEJA wa Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ Saidi Fella maarufu kama Mkubwa Fella, anayegombea Udiwani Kata ya...

READ MORE

Alichokisema Mkurugenzi wa NEC kwa Wanahabari

Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa Kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa...

READ MORE

Lissu Kutumia Mbao, Chai Kuinua Uchumi

MGOMBEAwa urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema utajiri mkubwa uliopo katika...

READ MORE

Gwajima: Mimi si Kilaza, Sijaja Kuganga Njaa

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima amesema mwaka jana...

READ MORE

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Amnadi Dkt. Kimei Jimbo La Vunjo

MGOMBEA Ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Vunjo Dkt .Charles Kimei jana Jumamosi amewaomba wananchi wa...

READ MORE

Umati Ulivyofurika Uzinduzi wa Kampeni Za Fella Kilungule, Wasanii Kibao

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platniumz’ jana alisababisha mafuriko makubwa ya watu wakati akizindua kampeni zake...

READ MORE

Watia Nia Ubunge CCM Jimbo la Hai Waja Na Jambo Lao

Aliyekuwa mtiania wa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kupitia CCM, Shabani Mwanga, leo ametangaza rasmi kuanza kuungana na mgombea aliyepitishwa...

READ MORE

Kikwete: Wapinzani Wameishiwa Hoja

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amekoleza moto kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema Watanzania...

READ MORE