The House of Favourite Newspapers

CCM Yaikamata Kaskazini, Yashinda Kata Nne Jimboni kwa Joshua Nassari

0
Wanachama wa CCM wakiwa mkutanoni.

KATIKA Matokeo ya Uchaguzi mdogo uliofanyika katika kata 43 nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashariki (ambalo ni jimbo la Mbunge Joshua Nassari wa Chadema) ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa.

Kata hizo na matokeo yake ni kama ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce Martin (Chadema) kura 608.

Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. Kata ya Leguruki Andason Sikawa (CCM) kura 3,023 na Daniel Mbise(Chadema) kura 287. Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.

Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

Leave A Reply