The House of Favourite Newspapers

CHADEMA Wajilipua Mikutano Kila Kona ”Rais Alisema Ruksa 2020”

0

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoa wa Arusha kupiti kwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa, Ema Kimambo ameeleza kuwa wemejipanga kufanya mikutano ya kunadi chama chao kwa wananchi sehemu zote za mkoa wa Arusha kwa kuwa mwaka 2020 umefika na katazo la Mikutano ya Vyama vya Siasa ukomo wake ulikuwa ni mwaka 2020.

Leave A Reply