The House of Favourite Newspapers

Chagonja ateuliwa kuwa Kamishna Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

0

Chagonja

Kamishna mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Paul Chagonja.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya utendaji ndani ya Jeshi la Polisi na kumteua Kamishna Paul Chagonja kuwa Kamishna mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Kabla ya uteuzi huo, Chagonja alikuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi.

Pia katika mabadiliko hayo, Jonathani Kahatano amepelekwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA)

Leave A Reply