The House of Favourite Newspapers

Chatu Afa Baada ya Kumeza Mbwa

 python-dies-delta-state CHATU aliyemeza mbwa mkubwa katika Jimbo la Warri nchini Nigeria, majuzi alikufa baada ya tumbo lake kuvimba kupita kiasi na kupasuka wakati anataka kupita katika senge’nge kwenye fensi.

python-dies-swallowing-goat-warriSenge’nge hizo zilimnasa tumboni na kusabisha lipasuke na akafa hapohapo.

fat-python-dies-delta-stateMashuhuda aliyepiga picha tukio hilo aliziweka picha zake katika mitandao ya kijamii kama onyo kwa watu wenye tamaa za kupata fedha kuliko mahitaji yako ya kawaida.

Darassa Afunguka Tuhuma za Kuiba Beat ya Saida Karoli Kwenye Wimbo Wake wa Muziki

Comments are closed.