The House of Favourite Newspapers

Coutinho na Neymar Watupia Dhidi ya Costa Rica

Philippe Coutinho akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza.

Timu ya Brazil, leo imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Costa Rica na kukaa kileleni mwa Kundi E katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi baada ya kufikisha point 4. Katika mchezo huo, mabao ya Brazil yamefungwa ndani ya dakika sita za nyongeza baada ya zile tisini kukamilika.

Kikosi cha Brazil kilikuwa hivi; (mfumo 4-2-3-1): Alisson; Fagner, Thiago Silva, Miranda, Marcelo; Casemiro, Paulinho (Firmino 68); Willian (Douglas Costa 46), Coutinho, Neymar; Gabriel Jesus

Kikosi cha Costa Rica kilikuwa hivi; (mfumo 5-4-1): Navas; Gamboa (Calvo 75), Gonzalez, Acosta, Duarte, Oviedo; Venegas, Guzman (Tejeda 83), Borges, Ruiz; Urena (Bolanos 54).

Comments are closed.