The House of Favourite Newspapers

CRDB Marathon: Mama Samia Akabidhi Mil 200 JKCI Muhimbili

0

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu, leo Agosti 16, 2020, amekuwa mgeni rasmi kwenye riadha ya CRDB MARATHON ambapo shindano hilo limewezesha kukusanya pesa kwa ajili ya kusaidia watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Mifupa ya Jakaya Kikwete, Muhimbili jijini Dar es Salaam

Leave A Reply