The House of Favourite Newspapers

CUF Yaanika Majina ya Wagombea Ubunge

0

Chama Cha Wananchi (CUF) kimepitisha majina ya wagombea Ubunge na Baraza la Wawakilishi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020. Pia, Ali Makame Issa ameteuliwa na Baraza Kuu kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar – Prof. Ibrahim Lipumba anatarajiwa kufika Ofisi za NEC kesho kuchukua fomu za Urais.

Leave A Reply