The House of Favourite Newspapers

Darassa Aachia Albamu Yake, Nyimbo 21 – Video

0

 

RAPA maarufu nchini Darassa CMG amezindua rasmi albamu yake mpya “Slave Becomes a King” usiku wa kuamkia leo Desemba 24, 2020.

 

Album hiyo yenye jumla ya nyimbo 21, ndani yake amewashirikisha wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi katika baadhi ya ngoma wakiwemo Mfalme Alikiba, Nandy, Dogo Janja, Billnass.

DARASSA Afunguka KUHUSU ALBUM Yake – “NIMETUMIA GHARAMA KUBWA SANA”

Leave A Reply