The House of Favourite Newspapers

DC SABAYA AAGIZA Wamiliki Wawili Wa Mabasi Kukamatwa – Video

0

Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Januari 19, 2020 ameagiza wamiliki wawili wa mabasi kukamatwa kwa tuhuma za kuunda genge la uhalifu kwa lengo la kuhujumu miundombinu ya reli ili kuathiri usafiri wa treni ya abiria kati ya Dar es Salaam- Moshi.

Wafanyabiashara hao waliotakiwa kuripoti kituo cha Polisi Bomang’ombe leo Jumapili Januari 19, 2020 kabla ya saa 10 jioni ni Clemence Mbowe anayemiliki mabasi ya Machame Safari na Rodrick Uronu anayemiliki mabasi ya Lim Safari. mabasi wapi na wapi? Kuna vyombo vya haki vitapima nani mwenye haki.”

Leave A Reply