Diamond Platinumz akiwasalimia mashabiki wake waliofika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kusherehekea sikukuu ya X-Mass.
Maasai Warriors wakifanya yaoWatoto wakijhiachia kuogelea.Dogo akiimba wimbo mpya wa Diamond ” Utanipenda?” nakushinda zawadi ya sh. 10,000 aliyopewa na Diamond.Diamond akipanda jukwaani.Diamond akiwaburudisha watoto.…akiendelea kuwaburudisha watoto.
.Dogo akionesha ujuzi wa kucheza nyimbo za Diamond jukwaaniDiamond akimkabidhi mtoto yule zawadi ya sh. 10,000 mara baada ya kuimba na kucheza vizuri nyimbo zake.…akiwapa mikono kuwasabahi mashabiki wake.
,.Mashabiki wakifurahia uwepo wa Diamond kwenye Jukwaa la Dar Live.
PICHA: NA WAPIGAPICHA WETU