The House of Favourite Newspapers

Diamond Alivyocheza KWANGWARU Bila HARMONIZE – Video

DIAMOND Plantinum ameachia show ya kufa mtu katika birthday ya Rom Jons iliyofanyika katika ukumbi wa Samaki Samaki Masaki jijini Dar es Salaam bila ya kuwepo msanii wa lebo ya WCB Harmonize.

Diamond ameonekana akitumbuiza nyimbo hiyo akiwa na Mbosso na Lavalava na Rom Jons mwenyewe huku akiwainua mashabiki kwa shangwe.

VIDEO: SHUHUDIA DIAMOND AKIFANYA YAKE

Comments are closed.