The House of Favourite Newspapers

DIAMOND, LAVALAVA, MBOSSO WALIVYOPIGA SHOO YA ‘JIBEBE’ – VIDEO

WASANII wa WCB wamefanya showa ya hatari katika siku ya kuzaliwa ya kaka yake na Diamond Plantinum Rom Jons iliyofanyika katika ukumbi wa Samaki Samaki Masaki jijini Dar es Salaam.

Show hiyo ambayo iliwakusanya WCB Katika jukwaa moja na kutumbuiza nyimbo ambayo kwa sasa inafanya vizuri na inaendelea kufanya vizuri katika tansnia ya muziki wa Bongo Fleva.

VIDEO: SHUHUDIA SHOO HIYO HAPA

Comments are closed.