The House of Favourite Newspapers

Diamond Atangazwa Balozi Mpya wa Coral Paints – Video

0

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, leo Februari 04, ametangazwa Rasmi kuwa balozi wa Coral Paints katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Leave A Reply