Diamond ‘Kafa kaoza’ kwa Tanasha, Amdekeza Hadharani, Utapenda! – VIDEO
Mastaa kibao kutoka katika tasnia mbalimbali nchini wamefika katika ukumbi wa Hyatt Regency kwa ajili ya kumsapoti oFISA habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, ambaye amezindua Pafyumu yake inayoitwa De Le Boss pamoja na taasisi yake inayoitwa Haji Manara Foundation itakayokuwa ikishughulikia masuala mbalimbali yanayohusu watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).
Miongoni mwa mastaa hao ni pamoja na Mfalme wa bongo fleva, Diamond Platnumz na mkewe mtarajiwa Tanasha Donna, ambao wamejikuta wakishindwa kujizuia na kuoneshana mahaba hadharani hali inayoashiria kuwa wanapenda si utani.
Comments are closed.