The House of Favourite Newspapers

Kiingereza cha Shilole Tabu Tupiu, Msikie Hapa Utacheka – VIDEO

SIKU zote ukikutana na mwanamuziki Shilole kitu pekee kitakachokujia akilini kwa haraka ni kile kiingereza chake cha kuunga unga ambacho kwakweli kimemfanya aongeze umaarufu wake na watu wengi kumpenda.

Sasa kwenye video hii Shilole kakutana uso kwa uso na waandishi wa habari alichokifanya hakifai kusimuliwa wewe tazama mwenyewe.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.