Diamond Kukosa Tuzo Ilipangwa, Mwijaku, Burna Boy Watajwa

Msanii Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz amekosa tuzo ya BET ambazo zimefanyika usiku wa kuamkia leo Juni 28, Mkali huyo anayetamba na kibao cha Kamata, alikuwa kwenye kipengele cha Best International Act, tuzo hiyo imeeenda kwa msanii wa Nigeria Burna Boy.


Toa comment