The House of Favourite Newspapers

Diamond na Ali Kiba Walivyokutana Kumuaga Masogange

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (kulia)  akisalimiana na Ali Kiba walipokutana kuaga mwili wa msanii Agnes Gerald ‘Masongange’ katika Viwanja vya Leaders, Kinondoni, Dar es Salaam, leo.
Diamond (kulia) akiwasalimia wananchi.
Diamond akisalimiana na Ali Kiba.

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni miongoni mwa wasanii waliofika viwanja vya Leaders, Kinondoni, kwa ajili ya kuuaga mwili wa msanii Agnes Masogange ambapo walisalimiana.

Wengine ni Jacqueline Wolper, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Anti Ezekiel, na wengine.

Marehemu Masogange amesafirishwa leo kuelekea Mbeya ambako anatazamiwa kuzikwa kesho (Jumatatu).

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.