The House of Favourite Newspapers

Dili la Suarez na Juventus Limeisha

0

MERIPOTIWA kuwa mabingwa wa Serie A, Juventus, watakuwa wakimlipa Luis Suarez kiasi cha euro 3m kwa mwaka na bonasi kiasi cha euro 13m.

Suarez yupo mbioni kutua katika kikosi hicho akitokea Barcelona baada ya kuwa kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha usajili wa staa huyo.

Msimu uliopita, licha ya kusumbuliwa na majeraha ya goti, lakini mpaka unamalizika alikuwa amefunga mabao 21 na kutoa asisti 12 katika michuano yote.

 

Suarez wakati dili hilo likiwa bado halijakamilika kabisa, anaendelea kufanya mazoezi na kikosi cha Barcelona kama kawaida.

Leave A Reply