The House of Favourite Newspapers

DJ Stve B Asumbuliwa na Figo, Aomba Msaada wa Matibabu – Video

DJ mkongwe nchini ambaye amewahi kufanya kazi kwenye vituo mbalimbali vya radio, DJ Steve B a.k.a DJ Skills, anasumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu.

 

Ameshafanyiqa vipimo na matibabu na sasa anaendelea na matibabu akiwa nyumbani, hivyo anawaomba Watanzania kumsaidia ili aweze kupata matibabu kwani gharama ni kubwa na uwezo wa kumudu gharama hizo hana.

 

Tujitokeze kumsaidia ndugu yetu DJ Skills!

 

Hapa chini ni video akielezea tatizo lake.

Comments are closed.