Dk. Magufuli amuapisha Mwanasheria Mkuu

MASAJU

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo asubuhi amemuapisha Bwana George Mcheche Masaju kuendelea kutumikia nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuteuliwa kuendelea na nafasi hiyo hapo jana.


Loading...

Toa comment