The House of Favourite Newspapers

Dkt. Ndugulile: Tutafuta Tozo Zote Kandamizi Katika Tehama

0

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema watafuta Tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana Vijana kujiajiri kwa kuendesha Chaneli za YouTube au Blog

 

Amesema Vijana walikuwa wanapata shida kutokana na Kodi na Tozo zilizowekwa. Ameeleza hayo katika Uzinduzi wa Tovuti na Mpango Mkakati wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa miaka mitano, 2021/22 hadi 2025/26

KAJALA NA PAULA WAIBUKA SABASABA, KUKUTANA na MASHABIKI WAO..

Leave A Reply