The House of Favourite Newspapers

Dodoma: Basi la Ally’s Lateketea kwa Moto – Video

0

Basi la Kampuni ya Ally’s linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limeteketea kwa moto eneo la Bahi Mkoani Dodoma leo Jumatano, Agosti 26, 2020. Hakuna taarifa za vifo wala majeruhi mpaka sasa, tunaendelea kufuatilia tutakujuza kwa kina.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply