The House of Favourite Newspapers

Drake Aachua Nyimbo 4 Kwa Mpigo

SIKU chache baada ya kutangaza project yake mpya ya More Life, jana Jumapili, Drake ameachua nyombo nne kwa mpigo kupitia OVOSOUND RADIO.

Nyimbo tatu kati ya hizo ni:—”Two Birds, One Stone,” zilizozndaliwa na “Sneakin’” akimshirikisha 21 Savage, na “Fake Love” (iliyoandaliwa na Vinylz na Frank Dukes)—ni baadhi ya ngoma abazo zitakuwa kwenye albamu yake mpya atakayoiachua mwezi Desemba.

  

Comments are closed.