The House of Favourite Newspapers

DRAKE KUACHIA NYIMBO KAMA ZAWADI KWA TORONTO RAPTORS NBA


RAPA Drake ameonesha furaha yake kwa kuachia nyimbo omerta na Money in the grave akimshirikisha Rick Ross kama zawadi ya ushindi kwa timu ya Toronto Raptors kwa kuchua ubingwa alfajiri ya leo.

Timu ya mpira wa kikapu ya Toronto Raptors kutoka Canada iliyonyakua Ubingwa wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya NBA katika game 6 ya Fainali za NBA dhidi ya Golden State Warriors.Raptors chini ya Kawhi Leonard walishinda kwa point 114-110 katika uwanja wa Warriors wa Oracle Arena.

Comments are closed.