The House of Favourite Newspapers

Efm Radio Yawazawadia Mil. 3 Wakazi wa Temeke

0

1Baadhi ya wananchi wakishuhudia jinsi washindi wanavyopatikana.

2Kushoto ni Meneja wa Matukio na Mawasiliano wa Efm Radio,  Neema Ukurasi akiwa na mtangazaji Chogo (katikati) ni mmoja wa washindi akiangalia kiasi cha pesa alichoshinda.

3 Neema akimkabidhi mshindi Flora Kafunga pesa taslimu shilingi laki moja.

4Mshindi wa kwanza Bi. Doris Joseph akiwa kwenye pozi baada ya kushinda shilingi milioni mbili za Mchezo wa Sakasaka.

WAKAZI 10 wa Wilaya ya Temeke jijini Dar wamejinyakulia  shilingi milioni 3 kupitia mchezo wa Sakasaka unaochezeshwa na Kituo cha Redio cha Efm kilichopo Kawe.

Leo  Juni, 26 mwaka huu mwanamama Doris Joseph amejipatia kiasi cha shilingi milioni mbili  baada ya kuwabwaga wapinzani wake tisa katika kusaka vitu vilivyofichwa katika eneo la Temeke-Mwisho. Hata hivyo wakazi hao tisa nao waliondoka na kifuta jasho cha kuanzia shilingi elfu hamsini, laki moja hadi laki mbili.

Leave A Reply