The House of Favourite Newspapers

Eliud Ambokile Atangazwa Mchezaji Bora Wa Mwezi

Mshambuliaji wa timu ya Mbeya City ya mkoani Mbeya, Eliud Ambokile amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Ambokile alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Ibrahim Ajibu wa Yanga na Stamili Mbonde wa Mtibwa Sugar alioingia nao fainali katika uchambuzi uliofanywa Dar es Salaam wiki hii na Kamati ya Tuzo ya TPL

Comments are closed.