The House of Favourite Newspapers

EPL: Chelsea yashinda dhidi Arsenal bao 2-0

0

2C81337500000578-3241084-image-a-72_1442668448161

Mchezaji wa Chelsea, Kurt Zouma akifunga bao la kwanza dakika ya 53 kipindi cha kwanza dhidi ya Arsenal katika Uwanja wa Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea wameshinda bao 2-0 dhidi ya Arsenal.

2C81359600000578-3241084-Kurt_Zouma_rose_highest_to_latch_on_to_Cesc_Fabregas_inch_perfec-a-67_1442668284503 2C8136BC00000578-3241084-image-a-70_1442668305338

…Wachezaji wa Chelsea wakishangilia.

2C80B00400000578-0-image-a-16_1442664358705

Mchezaji wa Chelsea, Alexis Sanchez (katikati) akiwatoka wachezaji wa Chelsea.

2C80DEF500000578-3241084-image-m-34_1442665439197

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho akiongea na wachezaji wake (hawapo pichani).

2C81713500000578-3241084-image-a-88_1442670027602

Wachezaji wa Chelsea wakishangilia bao la pili dakika ya 90 limefungwa na  Eden Hazard.

CHELSEA  wamefanikiwa kuichapa Arsenal mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Wafungaji Zouma, Hazard. Arsenal wamemaliza wachezaji nane uwanjani baada ya Gabriel na Santi Cazorla, kupewa kadi nyekundu.

CHELSEA (4-2-3-1): Begovic 6.5, Ivanovic 6.5, Zouma 8, Cahill 7.5, Azpilicueta 7, Fabregas 8.5 (Mikel 92), Matic 6.5, Pedro 6.5, Oscar 6.5 (Ramires 69), Hazard 7, Costa 7.5 (Remy 82)

Subs not used: Falcao, Terry, Blackman, Loftus-Cheek
Goals: Zouma 53, Hazard 90
Booked: Ivanovic, Oscar, Costa
Manager: Jose Mourinho 6.5
ARSENAL (4-2-3-1): Cech 7, Monreal 6, Gabriel 4, Koscielny 6.5, Bellerin 6, Coquelin, 6.5 (Chambers 45), Cazorla 5, Sanchez 6.5, Ozil 5.5 (Giroud 75), Ramsey 6.5, Walcott 7
Subs not used: Debuchy, Gibbs, Arteta, Ospina, Oxlade-Chamberlain
Booked: Chambers
Sent off: Gabriel, Cazorla
Manager: Arsene Wenger 6
Referee: Mike Dean 6
Attendance: 41,584
MOM: Fabregas

 

Leave A Reply