The House of Favourite Newspapers

EWURA Yasitisha Bei za Gesi Kupanda

0

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baadhi ya maeneo nchini hadi hapo itakapotangazwa tena kutokana na upandaji wa bei hizo kutofuata taratibu.

Leave A Reply