The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Anna Zambi Akiri Matokeo ya Division One na Two ni Yake

0

 

Baada ya kuwepo mkwa mkanganyiko wa matokeo halisi ya kidato cha nne ya mwanafunzi Anna Zambi ambae alipoteza familia yake kwa ajali wakati akijiandaa kufanya mtihani huo wa kidato cha nne mwaka  2019, Global TV Online, imezungumza nae juu ya mkanganyiko huo wa matokeo yake na amefafanua vizuri.

MSIKILIZE HAPA ANNA

Leave A Reply